Serikali inawapangia wanaomaliza form four kwenda kusoma diploma either ya nursing, clinical officer, pharmaceutical science, tena wanahitaji Mwanafunzi awe na D 4 tu.
Mdogo wangu form four...
Habari zenu wana JF mimi ni mgeni humu, na nilikua naomba mnisaidie japo ushauri.
Nina mjomba wangu .amemaliza kidato cha nne mwaka huu na nikimuuliza kuhusu ndoto zake na kitu anachopenda...
Wanafunzi wa shahada mwaka wa kwanza 30,311
Wanufaika 2,157 mikopo ya ‘Diploma’
Wanafunzi 588 kunufaika na ‘Samia Scholarship’
TZS 99.7 bilioni kutumika kuwagharimia mikopo, ruzuku TZS 2.9...
Wakuu,
Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu.
Naomba kuuliza Kwa anaefahamu majina ya waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya veta January 2021 lini yatatoka?
Maana tuliambiwa tarehe 1/12/2020...
Kuna chuo kinaitwa Ebonite cha Kimara Bucha kinatoa Diploma ya Ualimu kwa Kiswahili.
Hii diploma ni halali na nikitaka kuthibitisha uhalali wake nafanyaje!?
Mimi ni Mwanafunzi nimehitimu katika Chuo cha Mipango Dodoma Mwaka 2024, changamoto tuliyoipata ni kwamba baada ya Serikali kutuongezea hela ya ada Wanafunzi tuliyokuwa tumeshalipa hatujarudishiwa...
Wizara ya Elimu imelitataja somo la Hisabati kama ni Janga la Taifa
Tuanzie hapa, najua kuna wakali wa hesabu humu Jamii Forum
Tuanzie hapa kutoa msaada wa bure(Tuisheni) ya Hisabati kwa...
Hallow wana jamvi kwa wale ambao wamechaguliwa kuja kuwa student teachers kama mimi na wale wote wanahtaji kufahamu kuhusu chuo hiki cha Dar Es Salaam University College Of Education(DUCE)...
Ndugu yangu anatakiwa kuverify cheti TCU alisoma nje miaka kadhaa nyuma, nchi na chuo vinajuliakana na wamesoma wengi tu huko. Amewasilisha vitu vyote vinavyohitajika anasubiri wampe majibu. Sasa...
Sisi Wanafunzi wa St. John's University of Tanzania cha Dodoma tunakidai chuo hela ambazo tulilipa kabla hatujalipiwa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB), tumeandika barua nyingi sana kuomba...
Jamani naomba kuuliza! wanafunzi waliomaliza kidato cha nne 2023, lini majina ya kujiunga kidato cha tano yatatoka? Necta au wawakilishi wao watuambie lini?
Samahan wadau naomben kwa yoyote aliosoma physics a level aniorodheshe subtopic zinasotakiwa kusomwa katika topic ya mechanics kutokana na. Syllabus ya tanzania.
Na pia anaejua wapi naweza patia...
Kitabu nilichotumia A level Physics ni hiki hapa, na tulikimaliza chote ndani ya miaka miwili. Ninatafuta kitabu cha Physics A level kinachotumiwa leo sijafanikiwa kukipata; mwenye kopi yake...
Niende moja kwa moja kwenye mada kutokana na uwepo wa degree nyingi mtaani bora kuwe na mfumo mpya wa elimu kutokana na kanda husika kutoka primary hadi high level.
Kwa mfano watu wa Mwanza...
Wadau habari zenu,
Leo nimeona bodi ya mikopo wametoa taarifa lakini ghafla wakaifuta katika mitandao yao ya kijamii, je bado majibu ya appeal hayajatoka rasmi?
Naomba tutumie uzi huu kupeana...
TAARIFA YA MIKOPO KWA WANAFUNZI WALIOKATA RUFAA
WANAFUNZI 4,676 WAPANGIWA MIKOPO YENYE THAMANI YA TZS 15.5 BILIONI
Mfuko wa Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) umetangaza kukamilika kwa upangaji wa...
Hamza Salum ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya amebuni mfumo wa kulinda mitihani ambao unatajwa kuleta tija katika kukabiliana na wizi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.