Habari wakuu, natafuta chuo au sehem ambayo wanafundisha muziki. Nina mtoto wangu wa kiume anapenda drums sana. Kwa hapa dar es salaam ni sehem gani naweza pata?
Msaada wakuu account yangu baada ya kujisajili Jana nkatakiwa kulogin ,,wakati wa kulogin password nliyoweka akat na sajili iligoma nkajua labda ni mtandao kujalbu mara kadhaa naambiwa account...
Moja kwa moja..
1. Kusovu past papers imekuwa dili kwa Wanafunzi
Kumekuwa na misemo maswali au mitihani inajirudia na hili ni ukweli ambao hauna shaka. Unakuta Wanafunzi pamoja na walimu...
Kwema wadau wa Jf, nauliza hivi umemaliza form four umepiga C mbili ya history na kiswahili, na D ya english na mengine F,sasa ukataka kurisiti masomo mengine matano pamoja na english uliyopata D...
Huwa sitaki kuamini kuwa hapa bongo kuna chuo kigumu kuliko chuo cha Ardhi sana sana kwa kozi ya environmental engineering hawa muda wote wapo busy na engineering drawing na assignments za kutosha...
Wanafunzi wa sekondari (O level) hasa wale wanaopenda science msiache Somo la physics kwa shinikizo la mwalimu au bila kujua umuhimu wake.
Walimu wengi hasa wa shule za vipaji wanapenda...
Kwako Mwalimu kashasha.
Binafsi nimefika chuo lakini sijawahi kuhudhuria hizi graduation toka msingi mpaka namaliza masomo yangu ya chuo.
Kuna maanishwa kipi hasa au ndiyo modernization?
Kuna aina tofauti za majoho yanayotumiwa katika ngazi mbalimbali za elimu, na kila aina ina muundo na rangi maalum zinazowakilisha ngazi hiyo. Hapa kuna muhtasari wa aina hizo:
1. Majoho ya...
Kiukweli nashangaa sana viongozi na roho zetu binadamu hivi kwann mtu akifanikifanikiwa anasahau maisha ya wenzake hata kama amesota nae au nao?
Ndg zangu hivi serikali inafikiliaaje walimu...
Wapendwa nimeanzisha hii thread kwa yeyote mwenye information kuhusu kuhusu hiyo scholarship inayotolewa na IHI kwa wale wenye admission za masters of public health chuo cha nelson mandela, mana...
Wanajanvi habari za wakati hu,
Samahani kwa yoyote mwenyewe ABC Za rotary club of osterbay scholarship, I mean when to apply, inatumia muda gani kutoa majibu na majibu yanamfikiaje applicants...
Udahili umeanza, Chuo Kikuu Huria Tanzania na vyuo vingine hapa nchini.
Tuna chuo kimoja hapa nchini na Afrika Mashariki kwa ujumla kinachotoa elimu wazi na Masafa(Open and distance learning)...
Moja kwa moja niende kwenye mada inayohusu vyuo vingi lakini hasa Chuo cha Usafirishaji Tanzania (NIT), ambapo limetoka tangazo linalowataka wanafunzi kulipa asilimia 50 ya ada ili kuruhusiwa...
Habarini wadau na wazazi wote katika jukwaa hili...
Ukizungumza na watoto wadogo waliopo madarasa ya awali, utakutana na wengi wao wakiwa na hulka au ushawishi wa kujua mambo mengi ya kisayansi...
Aisee naomba wadau wa JF wanijuze utaratibu wa kurudia mtihani wa kidato cha 4 na vitu vinavyohitajika kwenye hili
Nilimaliza form 4 miaka 13 iliyopita ila now nataka nirudie mtihani kwa sababu...
Kusoma lugha mfano Kingereza kwa miaka 10 bila kuimudu lugha yenyewe vizuri inadhihirisha uduni wa wa mfumo wa elimu, attitude mbovu au IQ ndogo za wasomaji?
Habari JF,
Naomba kuuliz kuhusu PMP(Project Management Professional) certified imeanza kuwa ya lazima kwa baadhi ya taasisi za serikali?
Maana kuna tetesi nimesikia kwa taasisi kama TANESCO NA...
Habari wadau changamoto niliyonayo ni Matokeo ya Award Verfication Number (AVN) hayaendani na matokeo yaliyo kwenye Transcript kwenye transcript nina GPA ya 3.8 lakini kwenye AVN matokeo yangu...
Nahitaji kununua TV priority yangu ilikua hisense na skyworth ila katika zunguka yangu hizi TV zimekua adimu sana ila wauzaji wamenambia alitop ni best TV kwa upande wa picha na mimi pia...
Chuo Kikuu cha Dodoma hakijapeleka baadhi ya taarifa za wanafunzi kwenda Bodi ya Mkopo, mpaka hivi sasa karibu asilimia 40 ya Wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza hawajapata fedha zao za kujikimu, na pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.