ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,116
- 49,840
Tanzania Ina shida kubwa ya Walimu mahiri wa Kingereza.
Sasa kusomesha Watoto kwenye shule za English Medium za Kibongo ambazo walimu ndio hao wa 'the' nk ni kupoteza pesa maana mwisho wa siku ataishia kuwa kama kina Mruma au Ndalichako.
Kama umeamua kusomesha mtoto kwenye hizo shule ambapo wengi wa wazazi wanalenga mtoto ajue lugha basi aende kwenye shule Zenye walimu wa kigeni kama Waganda, Kenya au Zimbabwe au Zambia nk vinginevyo utapata hasara mara mbili.