Habari marafiki,
Nimepewa ofa ya kupublish tafiti (papers) kwenye Journal ya Energies ya MDPI bure kabisa (free of chaji) katika topic zifuatazo:
1. Natural Gas Resources and Exploration
2...
Kuna hiki chuo chetu cha DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY (DIT) chuo toka kimefunguliwa wiki ya 7 sasa lakini wanafunzi hatujasajiliwa kisa mfumo unao-monitor wanafunzi yaani "SOMA-DIT" una...
In a survey of 100 people, participants were asked to rate their satisfaction level on three different aspects: price, quality, and customer service. The results are as follows:
| Aspect | Very...
Habari
Naomba mtusaidie kupanza sauti kwa mamlaka zinazohusika, Kutokana na uchafu uliokithiri vyoo vya Chuo Kikuu Dodoma na hali iliyopo kwa sasa ya masika muda wowote kutatokea magonjwa ya...
Tusaidieni kupaza sauti kwa wahitimu wa Masters chuo Cha Uhasibu Arusha IAA, graduation ni Ijumaa ya tr 13 December , mpaka sasa matokeo ya utafiti hayajatolewa , majina ya wanaotakiwa kuhitimu...
Ujuzi wake nauona kamaliza forum 4 window anajua kuitengeneza computer anajua eti nisaidie wakuu kati ya computer science na information technology au kozi yoyote ya computer,,
Mimi baba yake...
Wandugu heshima zenu,
Nina mpango wa kusoma Masters in Humanitarian Assistance, na inabidi iwe online kwani natamani nisome huku nikiendelea na ajira. Nimejaribu kugoogle na nikafanikiwa kuona...
Wakuu, Naomba Ushuri au Kuelekezwa Namna ya Kusajiri Kituo cha Kufanyia Mitihani ya QT na Wanaorudia Mitihani ya Kidato cha Nne. Kwa Sasa Kituo Kipo Tuition Center tu, Je Kuna Vigezo Gani...
Habari za muda huu Wakuu? Msaada kwenye tuta nina rafiki yangu kwa sasa yupo South Africa 🇿🇦 sasa Visa/Passport aloingia nayo kule inabidi asome course ya OCCUPATION AND HEALTH SAFETY haiwezekani...
Tunaomba mtusaidie kufuatilia na kupaza sauti. Shule ya sekondari Ntare, iliyopo Kyerwa Ina michango mingi sana ya nje ya utaratibu.
Mtoto wa kidato cha nne, wanapeleka debe 8 za mahindi, na debe...
Kichwa cha habari chahusika,
Nina kaka angu alimaliza form four miaka ya nyuma na hakuweza kufaulu kuendelea na form five, sasa hivi anawaza kuingia chuo asome sheria ila matokeo yake ana C ya...
Habari za wakati huu wadau wa elimu
Kama picha inavojieleza hicho ndicho kiasi ambacho nimepangiwa na HESLB kwa mwaka wa masomo 2023/2024....
Nahitaji ushauri, maoni, faida na hasara za kukata...
Wakuu naomba kuuliza kwamba n sifa gani anaruhusiwa mtu aliyesoma hgl kusomea health management mana form four nilipata alama zifuatavyo nikapangiwa hgl
Civ b
Bioc b
Lang b
Chen c
Geo c
Kisw c...
Naombeni tathimini ya ajira kwa waliosoma Public Health, inalipa mtaani au ni mwendo wa kumaliza viatu kwenda kuomba kazi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo Mr. Chromium nina Swali kwa Watanzania.
Naandika sana maswala ya Geopolitics leo tuongelee maswala ya kijamii.
Kwanini Watz wengi wanaenda kujiendeleza Uganda hasa Makelele University? Je...
Hello guys wa jf tumekua tukishauriana vingi na nilitamani tena mnipe mawazo.
Nipo chuo diploma ya kwanza IT chuo Fulani Nina umri wa miaka 20 ila kadri siku zinavozidi kwenda sio siri napoteza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.