Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Mimi ni mwanafunzi nimemaliza form four mwaka 2021. Na nikapangiwa stashahada ya ualimu katika masomo ya physics and chemistry. Katika kozi hii tunasoma miaka mitatu, miaka miwili advance na...
6 Reactions
10 Replies
912 Views
Katika safari ya elimu, tunakutana na maswali mazito: Je, tunasoma kwa ajili ya kujifunza na kufurahia mchakato wa maarifa, au ni shinikizo la kufaulu tu ndilo linatufanya tukaze akili? Wazazi...
1 Reactions
0 Replies
436 Views
Habari wanajamvi, Naamini tunaendelea vizuri na shughuli zetu za kufunga mwaka wa 2024. Mungu amekuwa mwema kwetu, na ni kwa kudra zake tunaendelea kuishi. Jana nilimtembelea rafiki yangu mmoja...
3 Reactions
2 Replies
651 Views
HABARI WADAU NAWEZA PATA JOINING INSTRUCTIONS YA MZUMBE SEKONDARI KWA KIDATO CHA KWANZA 2025, NIMEJARIBU MTANDAONI MPAKA SITE YA TAMISEMI SIJAFANIKIWA
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Chuo Habari zenu wakuu, Sisi Wanafunzi tunaoendelea na mwaka wa masomo ukitoa wale wa Mwaka wa Kwanza ambao ni wapya hapa Chuo cha DIT (Dar es Salaam Institute of Technology) tuna changamoto ya...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Hbr ya wknd ndugu zangu Niende moja kwa moja kwenye Lengo la kuandika uzi huu, Nina mdogo wangu ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu,alisoma combination ya HGL na kufanikiwa kupata matokeo...
0 Reactions
9 Replies
11K Views
Habari wa jamvi!!, nawasalimu kwa jina la jamhuri. Naomba kwa mtu aliyewahi kusoma course yeyote ya Afya Ngazi ya Bachelor anipe hali elimu ya kule ikoje,Ada kwa mgeni,maisha kwa mgeni,tamaduni ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
SERIKALI IANGALIE VIZURI MFUMO WA AJIRA PORTAL, KUNA DALILI ZA WAHUNI KUSIMAMIA MFUMO HUU WA AJIRA. Tarehe 13 Desemba, 2024 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya...
3 Reactions
0 Replies
982 Views
,..............
1 Reactions
17 Replies
4K Views
As the heading says, we are opening a coding school in Dar starting January 2025. This isn’t a formal announcement…as more professional ads will be coming soon. If interested for you or your...
3 Reactions
4 Replies
710 Views
NAOMBENI MNISAIDIE KIDOGO,, NIMECHANGANYIKIWA! HIVI NINA DEGREE YA UALIMU WA MATH'S AND PHYSICS, NACHOHITAJI KUJUA NI KWAMBA NARUHUSIWA KUOMBA AJIRA SERIKALINI ANGALAU NIKIWA NA GPA YA NGAPI.¿...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Anonymous
Kila mwezi serikali inaingiza fedha za uendeshaji shule kwa kuzingatia idadi ya wanafunzi, fedha hizo zimekuwa zikichelewa sana na kusababisha kero kwa walimu , lakini upande wa sekondari huwekewa...
0 Reactions
0 Replies
295 Views
Anonymous
Chuo cha Taifa cha Usafirishaji kimekuwa na changamoto kwenye suala la usajili kutokana na kubadilishwa kwa mfumo wa ulipaji ada kutoka mara 4 kwa mwaka wa masomo mpaka mara 2 kwa mwaka wa masomo...
1 Reactions
6 Replies
951 Views
Kuna digrii ambazo hazina maana yoyote kwa wakati wa sasa. Chuo kikuu cha Makerere kimefuta degree courses zifuatazo Scrapped courses Bachelor of Science in Horticulture Bachelor of Science in...
9 Reactions
105 Replies
17K Views
Diploma-digrii#safi Cheti-diploma#safi TAMISEMI haitambui masters Kama unabisha soma utaisoma namba na stress juu.... Kinachohudhi mshahara haupandi kamwe... NB: km umepewa ahadi ya cheo kasome....
1 Reactions
44 Replies
8K Views
First of all I would thanks to god up to where am, second for those who have been blessed to pursue masters programs may you get me your assistance that am a last year student pursuing bachelor...
0 Reactions
48 Replies
9K Views
NAOMBENI MNISAIDIE KIDOGO,, NIMECHANGANYIKIWA! HIVI NINA DEGREE YA UALIMU WA MATH'S AND PHYSICS, NACHOHITAJI KUJUA NI KWAMBA NARUHUSIWA KUOMBA AJIRA SERIKALINI ANGALAU NIKIWA NA GPA YA NGAPI.¿ PIA...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari marafiki, Nimepewa ofa ya kupublish tafiti (papers) kwenye Journal ya Energies ya MDPI bure kabisa (free of chaji) katika topic zifuatazo: 1. Natural Gas Resources and Exploration 2...
2 Reactions
6 Replies
500 Views
Kwema wakuu Najifikiria kama kuna haja ili niende nikasome.Je itaniongezea chochote au nitulie tu na degree moja
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Anonymous
Kuna hiki chuo chetu cha DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY (DIT) chuo toka kimefunguliwa wiki ya 7 sasa lakini wanafunzi hatujasajiliwa kisa mfumo unao-monitor wanafunzi yaani "SOMA-DIT" una...
0 Reactions
11 Replies
947 Views
Back
Top Bottom