Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari, Natafuta mtu au kituo chenye uwezo wa kufundisha Tally na QuickBooks kwa hapa Kahama.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Anonymous
Hii changamoto imetokea tangu mwaka 2022 ikatulazimu tuendelee kusubiri maana bado tulikuwa tunasoma , hivyo hela iliyokuwa imezidi ikawa inatumika kwa michango mingine kama direct cost na...
0 Reactions
0 Replies
307 Views
1. What is the primary function of commerce? a) Production b) Distribution c) Consumption d) Exchange 2. Which of the following is a type of trade? a) Domestic trade b)...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimesign boom Jana ya awamu ya kwanza baada ya ku appeal Sasa kwenye lo verification imekuja Moja na kwenye failed imeandika Moja apo wasiwasi wangu kwenye failed.lakin message nimetumiwa uku kuwa...
1 Reactions
4 Replies
695 Views
Kuondoa masomo ya uraia, aliyeshauri haya achunguzwe. Muhutasari huu hapa. Maboresho ya sera ya elimu. Yapo mengi ila hapa wamewasilisha machache tu...
16 Reactions
81 Replies
9K Views
Wenzetu hawalali kila siku wanapenda kujua siri za Sayari zilizopo karibu na Dunia yetu, Chombo kinachohusika na masuala ya masafa marefu ya Angani Nasa wanafanikiwa kuweka rekodi ya Dunia kuwa...
0 Reactions
1 Replies
389 Views
Tangazo la nafasi ya kozi fupi ya udereva wa treni chuo cha reli (TANZANIA INSTITUTE OF RAIL TECHNOLOGY -TIRTEC). Nimeambatanisha tangazo husika.
2 Reactions
0 Replies
2K Views
naombeni msaada kila nikitaka kujirejista cas naambiwa vocha no does not exist...tatizo ni nn??naomba msaada tafadhali
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Hi elimu ya Tanzania ni pasua kichwa, alf viongozi wetu wa elimu wanaona kila kitu kiko sawa tu, mitano tena
1 Reactions
12 Replies
479 Views
Wadau naomba mwenye PDF ya hiki kitabu anisaidie
1 Reactions
99 Replies
30K Views
Habari wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nimechaguliwa kujiunga na chuo cha DIT (Dar es salaam) pamoja na MUST(Mbeya) katika course ya computer engineering. Swali langu ni je, niende...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu mwenye kufahamu chuo nchi za nje kinachotoa hii kozi naomba anifahamishe, au kama kuna anaesoma hii kozi pia naomba anifahamishe
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Changamoto za Wanafunzi Walionufaika na Samia Scholarship – Ombi la Msaada Tunapenda kuwasilisha changamoto zinazowakumba baadhi ya wanafunzi walionufaika na Samia Scholarship katika Chuo Kikuu...
1 Reactions
0 Replies
573 Views
Habari Wana JF, Ninaomba mnisaidie kwa anayejuwa VYUO VINAVYOTOA SHORT COURSE YA COMPUTER NA ADA ZAKE.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa walio soma Maria De Mattias high school, ningependa kuomba msaada wenu kwanza issue ya elimu wanafunzi wanafundishwa then life style ya shuleni ikoje?
1 Reactions
1 Replies
542 Views
Kwa Nini serikali huwa inapanga wanafunzi waliotoka shule ya msingi Moja kwenda sekondari Moja darasa Zima isipokuwa tu wale wenye wastani wa A? Kwa Nini wasiwe wanachanganya wanafunzi kutoka...
3 Reactions
8 Replies
876 Views
Habari zenu wakuu,wakubwa shikamoni Straight to the point,Niko mwaka wa tatu chuo x, niliingia na mipango mingi sana nilivyotoka advance ya kusave boom ili ikiwezekana nifungue biashara kwasababu...
4 Reactions
10 Replies
797 Views
Habari wakuu Mimi ni mwanafunzi wa chuo katika fani ya Computer science (degree mwaka wa pili), Naomba ushauri kutoka kwenu juu ya fursa ambazo naweza kujiajiri nazo ,( kwenye fani hii ya...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Heshima Kwenu, Nina binti anatakiwa awe shuleni form one mwakani.baada ya kuhitimu darasa la saba. SIFA ZA SHULE 1. Shule ni lazima iwe boarding. 2. ADA mwisho iwe milioni 2.5 kwa mwaka. 3...
0 Reactions
7 Replies
768 Views
Kuna kero imejitokeza VETA DSM kwa matokeo ya vijana usaili uliofanyika miezi kadhaa nyuma. Vijana wamefata matokeo na kujikuta wamechaguliwa course ambazo hawakuomba. Mfano kijana aliomba umeme...
1 Reactions
2 Replies
387 Views
Back
Top Bottom