vocha no does not exist CAS

atug

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
2,603
3,081
naombeni msaada kila nikitaka kujirejista cas naambiwa vocha no does not exist...tatizo ni nn??naomba msaada tafadhali
 
Wanaoambiwa Vchr # doesn،t exist vchr zenu mkiangalia vizuri mtagundua ni mpya(zimeandikwa exp date 2013) ni tofauti na wale waliotuma mwanzoni kwan wao wali2mia zinazo exp 2011(za mwaka jana) hizo mpya hakuna m2 alie apply zikakubali(m2 yeyote ninaemfahamu i.e) so nadhan bado hazijafunguliwa till now
 
mdogo wangu kadharika imemtokea kwa upande wa hesb wanasema namber does nt exist try after two hours or contact bodi y mkopo mi nahs hawakujpanga kuhudumia wa2 wengi hivyo wako nyma
 
Back
Top Bottom