Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari wakuu? Mwaka mpya umeanza kwa kasi, inabidi tuanze punguziana machungu sasa. Mimi niko Dodoma, kuna namna nimekuwa nahangaika na masomo ACCA kwa muda mrefu bila mafanikio. Naomba kwenye...
2 Reactions
1 Replies
401 Views
Ndugu wana jamiiforum ni matumaini yangu nyote mnaendelea vyema. Nina mdogo wangu anaenda kidato cha pili sasa , lakini kutokana na chanagomoto za kiuchumi nina wasiwasi huenda si ndoto yangu tu...
0 Reactions
7 Replies
615 Views
Understanding the Role of Clinical Dietitians in Patient Care Dear Medical Doctors, Nurses & Allied Health professionals. Heri ya xmass & mwaka mpya! Introduction We value your dedication to...
3 Reactions
2 Replies
705 Views
Habari wana jukwaa, Naulizia ni Certifications zipi zipo kwenye Market ambazo watu walioko kwenye field ya Computer Science/IT-related field wanapaswa kuzisoma na kuzipata ili waendane na...
2 Reactions
13 Replies
972 Views
Anonymous
Nina kero ya kutotatuliwa changamoto ya kimatokeo zaidi ya mwaka mzima, kutoka katika chuo Kikukuu cha mtakatifu Augustino Mwanza, amabapo kero hii imekuwa ikawakumbuka wanafunzi wengi hususani...
1 Reactions
2 Replies
453 Views
Jaman kwa anauejua vitabu na vitu vingine ambavyo mwanafunz anaye soma chemistry na biology lazma awe navo NASHUKURU MKINITAJIA LIST...
1 Reactions
36 Replies
11K Views
Nimechaguliwa DMI bachelor Maritime Transportation lakini sina ufahamu wowote kuhusu hii kozi? Then ni kozi gani nzuri kati ya Maritime Transportation na Marine Engineer?
0 Reactions
23 Replies
10K Views
HIZI HAPA HATUA TANO ANAZOPITIA GRADUATE WA KITANZANIA ANAPOMALIZA CHUO. 1. Mwaka wa kwanza baada ya kugraduate.Hapa bado kitaa hakijachanganya, anakua na hope kwamba atapata kazi muda wowote...
15 Reactions
19 Replies
1K Views
Matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne yaliyotangazwa jana yameonyesha hali ya ufaulu wa wanafunzi nchini, yakitoa taswira ya maendeleo na changamoto zinazokumba sekta ya elimu. Ingawa baadhi...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu samahani. Je, naweza kutumia Academic transcript badala ya cheti katika kuomba leseni kwenye mfumo wa Medical council of Tanganyika (MCT)? Kwa sasa nimeuliza uku maana hamna response...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau habarini!!! Niende moja kwa moja kwenye title. Nina mpango wa kusoma short course inayohusiana na mambo ya ICT, ili nije nijiajiri kutokana na huo ujuzi nitakaoupata. Nimeshafanya tafiti...
1 Reactions
1 Replies
505 Views
Kwa kuzingatia kichwa cha thread hapo juu,nawakaribisha kwa heshima na taadhima wadau wote na marafiki wa mazengo secondary humu ukumbini japo tukumbukie,tufahamishane zaidi kuhusu historia ya...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu naomba mnasaidie link za moja kwa moja kwa matokeo ya shule hizi mbili simu yangu ni kpengele kdogo kufungua ile link ya matokeo ya shule zote. SHule zenyewe ni 1. IHANGA SECONDARY (MBEYA...
0 Reactions
6 Replies
561 Views
Hii imekuwa too much sasa, hawa mabinti wa saint francis wanaifedhehesha Necta 😂 Division 1 ya saba kwao imekuwa kama kumpa samaka mtihani wa kuogelea, kila mwanafunzi anaibonda !! Shule imesha...
10 Reactions
50 Replies
3K Views
Kigezo cha kuajiriwa serikalini ni unyonyaji usio na mantiki yoyote. Kinacholenga kutufanya taifa lenye watu wengi wasio na elimu ya kutosha, hali inayokwamisha maendeleo ya kitaifa katika nyanja...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Wakuu habari, poleni na majukumu. Kuna hizi scholarship zinazotolewa na Tume ya nguvu ya Atom Tanzania (TAEC) kupitia Raisi Dkt Samia Suluhu Hassan (Maelezo zaidi yapo katika tovuti ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu chuo gani Cha veta hapa Tanzania wanafundisha kozi fupi ya steel fixing/USUKAJI WA nondo na ada yake ni kiasi gani? NB:Kama Kuna sehemu wanafundisha hata kama sio veta naomba mnielekeze...
0 Reactions
1 Replies
646 Views
Wakuu samahani Je unaweza kutumia Academic transcript badala ya cheti katika kuomba leseni kwenye mfumo wa Medical council of Tanganyika MCT
0 Reactions
0 Replies
387 Views
Msaada wanataaluma wa past papers za ECA Nitashukuru sana nikifanikiwa namba yangu ya Whatsapp nitakutumia inbox ukihitaji kunisaidia
0 Reactions
5 Replies
565 Views
Nimekuwa nikipiga kelele humu JF serikali ianzishe kitu kinachofanana na EWURA kwenye maji na nishati kwa masuala ya ELIMU lakini serikali imekaa kimya kwa kuwa miradi hii ya shule binafsi ni ya...
1 Reactions
55 Replies
12K Views
Back
Top Bottom