Acha kupoteza muda! Kama unataka ujuzi ingia kwenye hizi sites..Habari,
Natafuta mtu au kituo chenye uwezo wa kufundisha Tally na QuickBooks kwa hapa Kahama.
Asante Sana mkuu,ngoja nipitieAcha kupoteza muda! Kama unataka ujuzi ingia kwenye hizi sites..
1. Udemy (10usd per course)
2. Youtube (free)
Kwenye kila site hapo juu ukisha fungua search "quickbook" au "quickbooks tutorials"!
Je ulifanikiwa kupata mafunzo ya tally? km bado nipigie 0713 555991Habari,
Natafuta mtu au kituo chenye uwezo wa kufundisha Tally na QuickBooks kwa hapa Kahama.