Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Ukijua kutumia CHATGPT, GEMINI na google scholar, utaweza kuandika research project au thesiss yoyote kwa urahisi. Lugha nzuri za ki academic, translations kwa lugha yoyote, mpangolio nzuri wa...
6 Reactions
11 Replies
767 Views
Wakuu hawa watoto wetu si watavunjwa mabega dogo ameanza shule leo darasa la kwanza masomo nane. Yaani madafutari 8+ vitabu 8 jumla kumi na sita vyote anatakiwa avibebe kwenye bag, dogo ana miaka...
6 Reactions
7 Replies
687 Views
Wakuu wapi napata hizi module
1 Reactions
5 Replies
543 Views
Naombeni msaada kwa anaefahamu shule ya msingi ya binafsi inayotumia Kiswahili. Nitafurahi nikioata mawasiliano ya shule husika. Natanguliza shukrani.
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Jamani naomba kujua je, bachelor in applied geology ina soko kwa saa hizi??
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Baada ya kipindi kirefu Cha kuwa njia panda nimeamua nifunge mwaka na kubadili kozi.
3 Reactions
5 Replies
598 Views
Aisee hizi selection za ajabu sana, mwanangu Ako na A zooote na amepangwa shule ya changanyikeni tu na amemaliza shule ya serikali, japo Kuna wenzake unakuta Wana A nne lakini wapepangwa shule...
14 Reactions
98 Replies
4K Views
Anonymous
JamiiForums tupazieni sauti wanafunzi wa vyuo tunateseka hadi sasa hivi hatujapata boom la pili, hali ni mbaya, kula shida, madeni kila mahali hadi watu tunaona maisha magumi na wengi wetu hatuna...
2 Reactions
8 Replies
569 Views
Wakuu naomba mwenye ujuzi anijuze njia zipi unaweza kutumia kukuza GPA kama ukimaliza na GPA ndogo. na pia nataka nijue ukimaliza chuo na GPA chini ya 3 unaweza kupata kazi
0 Reactions
37 Replies
8K Views
Wakuu kuna mshikaji ananiambia anasoma chuo cha uhasibu (TIA) pale mitaa ya Temeke,ila mara nyingi usiku ndio anakuwa chuo,je pale wanasoma usiku? Na vigezo vyake ili mtu ajiunge vipoje? Nataka...
2 Reactions
4 Replies
477 Views
Hello wana jf Husika na kichwa cha uzi hapo juu Kwa ninavyofahamu post graduate education/degree ni elimu zote anazochukua mtu baada ya shahada ya kwanza mfano ni Masters degree Lakini nasikia...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Wakuu naomba msaada tafadhali kwa mtu ambaye yuko kwenye payroll ya serikali mwenye degree ya udaktari akienda kuchukua masters ya public health vp kuna namna yoyote mshahara unaongezeka? Msaada...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Bado nashindwa kuelewa kwanini serikali bado inapata kigugumizi kuamua tuu kingereza kiwe lugha ya kufundishia kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu ili kuendana na teknolojia na ulimwengu. Je...
13 Reactions
86 Replies
3K Views
Ana miaka 14, ni lazima Kidato cha Kwanza au QT inatosha? Naomba mawazo yenu.
1 Reactions
15 Replies
880 Views
Wana JF mimi si mwandishi mzuri kwa sababu niliishia na 5B, lakini ningependa tujadili suala fulani kuhusu elimu. Toka serikali ijipange kwamba inabadilisha mtaala watoto primary watasoma kwa...
4 Reactions
47 Replies
3K Views
Hivi kurisit mtihan ni lazima urisit masomo yote ( 2017/2018)
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Good Afternoon my dear brothers and sisters out there. Eti wadau, tunaweza kufuta form six?? Mwanafunzi akianza form one, aende mpaka form five (Non stop) alafu chuo?? Yaani tunaua mitihani ya...
6 Reactions
79 Replies
3K Views
VITABU HIVI NI VIZURI KWA WALIMU, NA WANAFUNZI WANATAKA KUA WALIMU VITAWASAIDIA
2 Reactions
7 Replies
524 Views
Changamoto inayowakumba wazazi wengi wanaotafuta elimu bora kwa watoto wao licha ya vipato vidogo. Ndugu wanajamii, mimi ni mzazi naomba msaada wenu kupata shule bora na yenye gharama nafuu kwa...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari ya leo, Nimeandika vitabu vya English na Math Mitihani 20 na majibu yake kila kimoja kwa shule za msingi (Darasa la Tano hadi la Saba wanaweza kuvitumia). Ninauliza nitapata changamoto...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom