Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari zenu wana JF Naomba kujua mshahara wa mwalimu wa s/primary ngazi ya cheti [ lll ] kwa mwezi kwa wale walioanza kazi mwaka 2013 ukiondoa makato yao yote yani ile salary taslim inayoingia...
2 Reactions
34 Replies
19K Views
Mara nyingi Kigoma inachukuliwa kuwa nyuma mambo mengi Asante sana Ahawa secondary Kibondo Kigoma kwa matokeo haya ya juu mno mtihani wa Taifa form four wote 84 division one tena mchepuo wa...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Hii ni shule ya vipanga tuu inapeperusha bendera ya Mkoa wa Mbeya . https://www.instagram.com/p/DFKnRXhsulD/?igsh=MTVmc2J1OGY3OHFkMA== Shule Bora Tanzania nzima 👇👇...
7 Reactions
51 Replies
2K Views
Habari wakuu, dogo amepata Div IV ya 28 Maths F English F Kiswahili C History C Geography D Biology D Civics D Naomba ushauri asomee kozi gani ? Nataka mpeleka Certificate then Diploma.
1 Reactions
1 Replies
394 Views
Habari za muda huu, Wengi wetu humu mmesoma na wengine matokeo ya form four hayakua mazuri. Kuna watu wanarudia na matokeo yanatoka mapema tuu.. Kwanini kusiwe na uwezekano wa mitihani ya...
2 Reactions
0 Replies
514 Views
Kulikoni siku hizi kwenye elimu ya nchi hii.? Ni kwamba sisi zamani tulikuwa na uwezo mdogo wa kiakili ama la? Au zamani elimu ilikuwa ngumu? Au watoto wa siku hizi wana akili na uwezo mkubwa...
4 Reactions
63 Replies
3K Views
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) halijawahi kupata tena Katibu mkuu mtendaji maarufu kuliko Prof. Joyce Ndalichako, huyu mama ilikuwa ikifikia wakati wa kutangaza matokeo ya NECTA ya darasa la...
8 Reactions
16 Replies
950 Views
Hello Wasailiwa Watarajiwa wa Ngazi ya Ualimu katika Utumishi (PSRS), For those of you preparing for the Utuminshi recruitment exams (both Written Test and Oral Interview), we recommend checking...
0 Reactions
0 Replies
949 Views
Mambo vipi Mwanangu amepata 1:13 sasa Pysics B, Chem B, Biology B, Computer A, Math A Comb PCM imekubalk na PMC HIVI NIKIMPELEKA PCM form Six Je hivi ataweza kweli kuwa na machaguo mengine chuo
3 Reactions
5 Replies
445 Views
Wanabodi, Tupo katika kile kipindi cha mwaka ambacho kama kawaida, tuna rubuniwa kwa maneno matamu. Maneno matamu yanayoweza kutoa nyoka zaidi ya kumi pangoni. Ni kweli, hakuna marefu yasiyo na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yamekuwepo mazoea mabaya sana ya kutowafuatilia wanafunzi wanaoshindwa katika mitihani ya upimaji ya kidato cha pili.Yaani mtoto na mzazi wanaamua wenyewe kama iwe mwisho wa kusoma au arudie...
1 Reactions
6 Replies
479 Views
Matokeo ya Darasa la saba hupangwa kwa Mkoa/wilaya kitu ambacho ni kizuri na hata mtu akitaka kuperuzi shule za Wilayani kwake anaweza kuziona zote kwa urahisi. Au pengine waweke option ya...
0 Reactions
5 Replies
542 Views
110+100÷2=160 100+110÷2=155 msaada tutani....
3 Reactions
9 Replies
486 Views
Habari zenu ndugu zangu naomba kuuliza hivi Kuna shule za English medium za serikali? Hapa Tanzania kama zipo mnaweza kuzitaja jina na mikoa zilipo
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Shule zetu zinafungwa na kufunguliwa siku moja nchi nzima. Inawezekana wazo hili lina nia njema na manufaa. Hata hivyo, naona utaratibu huu una changamoto ambazo zina athari kubwa mno kwa...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Ni ukweli usiopingika kuwa miongoni mwa nyenzo muhimu katika kujifunza maarifa fulani ni lugha, lugha ndiyo hutumika kuhifadhi maarifa mbalimbali lakini pia ndiyo njia ya mawasiliano. Kila taifa...
0 Reactions
0 Replies
755 Views
Salaam jukwaa, Nimefaulu division3 kwa KemiaD, Biologia C, English C, B/mathD, Fizikia F na mingine yaliyo bakia nimepass naweza kupata nafasi Muhimbili(MUHAS) kuanzia ngazi ya cheti na...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Salaam na heshima kwako Mh Waziri Elimu Prof Mkenda. Awali ya yote nawapa pongezi sana kwa jitihada zenu kuboresha elimu tangu msingi hadi sekondari..hongera sana awamu hii pongezi kwa Mama...
11 Reactions
107 Replies
4K Views
Habari wadau. Nazani wote tunajua kwamba kuna wimbi kubwa la wa Tanzania kupeleka watoto kusoma india. Nimegundua wahindi wengi wenye big position na matajiri ni alumni wa India institutes of...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom