Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Humu kuna watu wanafanya kazi baraza la mitihani. Matokeo yanatoka lini?
2 Reactions
8 Replies
2K Views
habari zenu wakuu ni imani yangu kuwa mko poa nimekutana na posts za scholarship za hiki chuo kwa jina la Parul University cha huko india naomba kuuliza kwa wadau wa elimu kama kipo vizur na je...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Salaam! Katika kutafuta maisha Kuna kipindi unaamua kujitoa kinaga ubaga kutafuta maisha mbali na nchi yetu ya Tanzania Sasa unafikiria utaanzaje kutoka kwenda huko unaamua kujifunza njia za...
2 Reactions
9 Replies
490 Views
Habari wadau!!?? Naomba kwa yule aliyefanikiwa kufanya usaili wa Diploma Ualimu, anisaidie Dondoo za Usaili wenyewe ukoje. Content ni zipi ?
1 Reactions
0 Replies
532 Views
Wana JF habari za Weekend? Naomba kufaham orodha ya vyuo vya Ulaya, Marekani, Asia etc. vinavyotoa online masters courses hasa kwenye masuala ya social science na kozi zingine za management. Vyuo...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
The University Grants Commission, the apex body for higher education, on Wednesday published a list of fake universities in the country for the benefit of students. A total of 21 universities...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Kilicho andikwa hapa Kina ukweli WA asilimia mia. Anasema " What could be a better prank than making people study for 20 years then never giving them jobs"? Haya Sasa twende Kazi , kimbia...
1 Reactions
0 Replies
314 Views
Shule zimefunguliwa takribani siku Nne Hadi Sasa na kwa uhakika wanafunzi wa Kidato Cha kwanza Wana miminika mashuleni. Uhakika uliopo ni kuwa wote wanakuja kuanza mtaala ulioboresha (alimaarufu...
5 Reactions
12 Replies
895 Views
Hello Looking for teachers for Pre and Primary English medium school Requirements 1. Teaching experience with a minimum of 3 years in PRIVATE primary or Secondary schools 2. Diploma or degree...
0 Reactions
0 Replies
382 Views
Mkuu Twende Wote Hapa😁 If you're preparing for a teaching interview, you're about to embark on an important journey that can shape your career. Whether you're new to teaching or an experienced...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
MEMBER OF PARLIAMENT CV GENERAL Salutation Honourable Member picture First Name: Adam Middle Name: Kighoma Ali Last Name: Malima Member Type: Constituency Member Constituent...
1 Reactions
86 Replies
29K Views
System ya elimu ya hapa Tz inafanana karibu vyote Tanzania Lecturers wengi wa vyuo vya Tanzania ni wahitimu UDSM Walimu wengi hawaandai notes zao, wanatumia notes za mitandaoni kufundishia...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Haya ndugu zangu kama kawaida yangu ikitokea fursa nawatonya. Wengi waliniuliza kuhusu undergraduate, haya fursa ndo hiyo ya kwenda uturuki. Application ni simple sana just visit website Yao, na...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Wadau naomba kujuzwa kuhusu hiyo mada hapo juu. Mimi sio mtaalam wa computer. Nipo field tofauti. Dogo yupo advance anataka kujikita katika ishu za computer huko mbeleni at the university...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Wakuu habari,hivi ni vyuo vikuu gani vizuri Kwa kozi ya pharmacy ngazi ya degree nchini Uganda nataka nimpeleke ndugu yangu akasome huko Uganda msaada wakubwa
0 Reactions
6 Replies
826 Views
Habari Wana JF, kama kichwa Cha Uzi kinavyosomeka hapo juu. Naomba taarifa kwa wanaofahamu short course yoyote ambayo ni related na maswala ya fire fighting. Natanguliza ahukrani
1 Reactions
3 Replies
603 Views
Naitwa Google Diggers. Nina miaka 31 Nina degree ya Sanaa yaani bachelor of arts na nina stashahada ya masuala hayahaya ya Sanaa. Kifupi ni Political sciences. Nataka kufanya post graduate ya IT...
2 Reactions
4 Replies
559 Views
Habari wakuu Je, Power of Attorney inaweza mpa mtu mamlaka ya kunichukulia cheti chuo maana clearance nimemaliza na vyeti bado havijatoka, natarajia kusafiri kwenda Marekani keshokutwa. Nataka...
0 Reactions
2 Replies
437 Views
Back
Top Bottom