Je, kwa ufaulu huu naweza soma kozi ya ufamasia MUHAS?

Ethan hunt

Member
Feb 6, 2021
20
8
Salaam jukwaa,

Nimefaulu division3 kwa KemiaD, Biologia C, English C, B/mathD, Fizikia F na mingine yaliyo bakia nimepass naweza kupata nafasi Muhimbili(MUHAS) kuanzia ngazi ya cheti na kuunganisha diploma kwa kozi ya famasia na ada ni shingapi bila kulala.

Nawasilisha.
 
[QUOTE="Jiwe kuu001, C nne na D nne kwa ufaulu huo nina division three ya 24 basi nisaidie vigezo vyake nitashukuru
 
Salaam jukwaa,

Nimefaulu division3 kwa KemiaD, Biologia C, English C, B/mathD, Fizikia F na mingine yaliyo bakia nimepass naweza kupata nafasi Muhimbili(MUHAS) kuanzia ngazi ya cheti na kuunganisha diploma kwa kozi ya famasia na ada ni shingapi bila kulala.

Nawasilisha.
Hiyo F imechana mkeka
 
Hata usingekuwa na F ila chemistry pia ingekuwa tatizo
 
Salaam jukwaa,

Nimefaulu division3 kwa KemiaD, Biologia C, English C, B/mathD, Fizikia F na mingine yaliyo bakia nimepass naweza kupata nafasi Muhimbili(MUHAS) kuanzia ngazi ya cheti na kuunganisha diploma kwa kozi ya famasia na ada ni shingapi bila kulala.

Nawasilisha.
Physics - F

Inshort haiwezekani.
 
Salaam jukwaa,

Nimefaulu division3 kwa KemiaD, Biologia C, English C, B/mathD, Fizikia F na mingine yaliyo bakia nimepass naweza kupata nafasi Muhimbili(MUHAS) kuanzia ngazi ya cheti na kuunganisha diploma kwa kozi ya famasia na ada ni shingapi bila kulala.

Nawasilisha.
wasikukatishe moyo ufamasia kusoma kwa matokeo hayo yako unasoma vizuri lakini kwa chuo km MUHAS kupata ni changamoto maana ushindani ni mkubwa ila kwa vyuo vyote vya private unapata nafasi vizuri tu

kwa cozi ya Pharmaceutical inahitaji uwe na D mbili za Biolojia D na Kemia D hata km Fizikia una F

so km unania ya kusoma pharmacy vyuo vya private unapata nafasi bila wasiwasi
 
Salaam jukwaa,

Nimefaulu division3 kwa KemiaD, Biologia C, English C, B/mathD, Fizikia F na mingine yaliyo bakia nimepass naweza kupata nafasi Muhimbili(MUHAS) kuanzia ngazi ya cheti na kuunganisha diploma kwa kozi ya famasia na ada ni shingapi bila kulala.

Nawasilisha.
Siku hizi hata kama utapata A ya chem B ya Biology ukisha pata F ya Physics mchezo umeisha mzee wangu
 
soma hizo criteria za kusoma pharmacy its only chemistry and biology bas
IMG_20210220_015754.jpg
 
Salaam jukwaa,

Nimefaulu division3 kwa KemiaD, Biologia C, English C, B/mathD, Fizikia F na mingine yaliyo bakia nimepass naweza kupata nafasi Muhimbili(MUHAS) kuanzia ngazi ya cheti na kuunganisha diploma kwa kozi ya famasia na ada ni shingapi bila kulala.

Nawasilisha.

Vipo vyuo vingi private. Jaribu huko. Mwisho wa siku kinachogomba ni ujuzi si wapi ulisoma.
 
Back
Top Bottom