Nimechaguliwa kusoma chuo nchini China kiitwacho Tianjin University na course niliyochaguliwa ni Mechanical Engineering and Automation ila wameniambia inafundishwa kwa Kichina na inabidi nisome...
Lengo la Mkutano huu ni Waafrika Millioni 300 wakiwemo Watanzania Millioni 8.3 kupata umeme ifikapo mwaka 2030.
Tazama Live Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy...
Mimi mdogo wenu nimemaliza kidato cha nne mwaka Jana na ufaulu wangu ni kama ifuatavyo
Phy D math D chemia C Biology C.
Huo ndio ufaul wang na Nia yangu ilikuwa ni kwenda chuo nikasomee...
Amani ya Mungu iwe nawe.
Naomba kufahamishwa sifa ya kujiunga na chuo kinachofundisha Plant Mechanics pia vinapatikana mikoa gani kwa hapa Tanzania.
Asante.
Naomba kuwasilisha kero yangu hii kwa viongozi wa sekta ya elimu Tanzania. Kwa miaka kadhaa kumekuwa na tabia ya watungaji wa mitihani ya Kidato cha Nne hasa kwa masomo ya sanaa, kutumia lugha...
Serikali ina haja ya kutazama mpya juu ya suala la mtaala ulioboreshwa wa kidato cha kwanza 2025, kwa hakika mtaala huo haukidhi vigezo kwa mtoto wa kidato husika kwa sababu baadhi ya mada mfano...
"Mwalimu, nadhani ni muhimu sana elimu ya maadili kufundishwa kwa wanafunzi mara tu wanaporipoti vyuoni.
Hii ni kwa sababu inawasaidia kujenga msingi bora wa tabia, kufanya maamuzi ya kimaadili...
Mimi ni mhitimu wa BACHELOR OF SCIENCE IN ECONOMICS AND FINANCE, SINA MPANGO WA KUAJIRIWA NATAKA KUENDELEA KUFANYA MAMBO YANGU (INVESTING) HUKU NASOMA.
Mambo yangu niliyaanza tokea nipo form 4...
Chuo Cha Duce ( Dar es salaam University College of Education)
Department ya fedha inawasumbua wanafunzi wanaodai refund.
Refund hyo ni pesa ambazo wanafunzi wanapaswa kurudishiwa baada ya wao...
Habari zenu wana jamii forums? Hususani jukwaaa hili la stories of change Nitumaini langu nyote ni wazima.
Andiko hili litaangazia maisha ya vijana wahitimu vyuo waliotegemea kuajiriwa na hali...
Mimi ni mmoja wa wahanga waliohudhuria usaili wa somo fulani mkoa wa Kilimanjaro ambapo watahiniwa walikuwa zaidi ya 500
Usimamizi ni imara na mkali sana dhahiri jambo hili lipo makini.
Ila cha...
Wizara ya elimu imekua inasisitiza kuwa mitihani ya siku hizi inapima uelewa zaidi kuliko kukariri.
Na necta nao wakitoa matokeo watoto wamefaulu na division 1 za hatari kuliko zamani.
Sasa kama...
Huu Mtaala mpya unaohusu Watoto kuishia Darasa la Sita hakuna vitabu hata kimoja mpaka leo tangu Waziri wa Elimu Profesa Adolf Mkenda alipotangaza juu ya mabadiliko hayo.
Kila tukiuliza wanasema...
Habari waungwana. Samahani wapendwa naomba mnisaidie binti yangu amepata Division IV ya point 27. Kwa ufaulu huu
Civics D,
His F,
Eng D,
Chem D
Biol C
Kisw C
Marh F
Mtoto anapenda kusomea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.