Habari zenu wana JF
Naomba kujua mshahara wa mwalimu wa s/primary ngazi ya cheti [ lll ] kwa mwezi kwa wale walioanza kazi mwaka 2013 ukiondoa makato yao yote yani ile salary taslim inayoingia bank Maana kuna jamaa namdai na jinsi anavyonilipa kiasi kidogo sana tofauti na makubaliano yetu Nataka kuchukua hatua ili nisimuonee.
Majibu ningependa kujibiwa na walimu husika au mwenye uhakika anayejua kiwango sahihi cha mishahara ya walimu wa s/ za msingi
Msaada wenu wadau
Nawasilisha