Habari,
Msaada jamani juu ya hii kozi ya bachelor degree in project planning and management hivi inahusiana na Nini? Pili soko lake la ajira likoje hapa Tanzania?
Ajira zake serikalini zipo au...
Wale mliopotia pugu sec myanielewa
Wengine waliitea pond boys
Wengine fungus boys
Yaani baadaeee BAADA ya mateso ya kujikuna SEHEMU za Siri kunywaa madawaaa kibaokoo Badoo wengine...
Habari zenu wadau wa jukwaa la Elimu
Siku ya leo nimeona niwaletee Shule 3 bora za serikali katika mkoa wa Dar es salaam.
Kama ndugu au mtoto wako ikitokea amepangiwa shule ya kata na unataka...
Wakuu habarini.
Nina mdogo wangu kamaliza form four mwaka jana, amepata div four 29
Naombeni ushauri anaweza kwenda vyuo vya kati vinavyotoa certificate?
Au ni chuo gani kitaendana na ufaulu...
Katika kasi ya mabadiliko ya mtaala niliona shule binafsi kama chachu kwa sababu ya uwezo wa kuweka miundo mbinu kwa ajili ya kuisaidia serikali ila kwa mazingira haya naona giza.
Siandike kuweka...
kilichotikea leo ni moja ya usaili katili sana kuwahi kushuhudia nimefanya interview shule nyingi za private lakini kwa huu nmenyoosha mikono.
kwa walimu ambao bado hamjasailiwa mjipange kule...
Mungu ni mwema licha ya ugumu wa mtihani kati wa watahiniwa 23426 basi kwenye 775 waliopita kwa alama kwenda oral interview nipo😭
Naona tunamepata ofa ya siku mbili kujianda kutokana na ugeni...
MASTERING INTERVIEW RESPONSES NATURALLY: A GUIDE FOR SECRETARIATE JOB INTERVIEWS OR ANY PROFFESSIONAL.
+255656480968
👉In a professional interview, questions should be clear, measurable, and able...
Kuna mdogo wangu ambaye amemaliza form four ana ufaulu wa 1.14. ana penda kusoma nursing, radiology au MD.
Je ni bora aende advc au chuo mojakwa moja? Naombeni maoni yenu wakubwa🙏🙏
mimi ni mwanafunzi niliye maliza kidato cha nne mwaka jana nimesoma masomo ya art lakini nahitaji kusomea information technology,je naweza nikasomea ikiwa mimi ni mwana arts
Wazazi wamestuka, Vijana wametuka, zama zimebadilika,
Kwa upepo ulivyo Advance inaenda kupoteza thamani yake, yaweza kugeuka kuwa kapu la taka kwa wanafunzi wanaokosa vyuo.
watu wamepima mzani...
Naomba mamlaka zinazoshughulika na elimu kuanzia Afisa elimu jiji LA Dar es salaam, Afisa elimu mkoa wa Dar es salaam na Waziri wa elimu, mtupatie majibu sahihi ya hiki kinachofanyika Dar es...
Wadau naomba msaada wenu wa kujua tofauti kati ya higher diploma na advance diploma maana hapo awali sikuwahi kusikia kitu kinaitwa higher diploma hapa Tanzania bali advance diploma.
Natanguliza...
Dunia imeamia kwenye Technology na digital transformation.
Hata kwa upande wa Afya tujiandae.
Sehemu ambayo tulikuwa tunahitaji 10 doctors tutahitaji only two, 15 nurses tutahitaji only 5 , 10...
Naombeni msaada wa kupewa ushauri
Binti yangu kamaliza mwaka jana form four; matokeo yake yametoka mwaka huu, kapata Divion one ya point 9
Matokeo ya masomo yake
MATH A, BIOLOGY A ENGLISH A...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.