Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wakuu, I am looking for Advanced Math Books Vol I and II by TIE/Kinunda. I will accept used copies at reasonable prices. Natanguliza shukrani.
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Naombeni ushauri wanaJF, nina I.9 O level na nataka niende Diploma coz uwezo wangu mkubwa upo kwenye vitendo kuliko kukariri.
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Nacheti cha diploma ila haina usajili wa nacte una usajili wa veta ila sijasomea veta nimesomea chuo cha kati hapa nilipo so kama sasa vyuo vyote vya sasa vimesajiliwa na nacte kwakutumia cheti...
6 Reactions
15 Replies
739 Views
Habari ndugu zangu katika elimu! Mimi nimekuja kutafuta ushauri wa kituo gani kizuri kwa masomo ya QT, Kinachopatikana kinondoni, magomeni, Morocco, studio au maeneo karibu na hayo. Nahitaji...
2 Reactions
16 Replies
7K Views
Ratiba ya mtihani wa taifa 2025 kidato cha nne
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wajumbe wote wa jukwaa hili tukufu na wasomaji wote, naomba tujielekeze kujibu hilo swali hapo juu. Uchawi ni sehemu ya dini za kimila imekuwaje Uchawi umeaachwa Ni hayo tu
1 Reactions
2 Replies
211 Views
MTIHANI WA UWEZO (APTITUDE TEST) KWA MWALIMU WA SOMO LA KIINGEREZA – NGAZI YA CHUO KIKUU (DEGREE) Subject (Knowledge & Understanding) 1. What is the primary function of a conjunction in a...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MASTERING THE ART OF APTITUDE TEST STRATEGY 💪 With metacognition approaches —be smart, not just intelligent 🧠. Kama wewe ni msailiwa, usitoke hapa! By Mr. Josephat 📍 Dar es Salaam, Tanzania 📞...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini. Nina hitaji mtu yeyote anayeoma archeology hasa UDSM au chuo kingine. Pia kama unamjua mwalimu anayefundisha somo hilo pia naomba mawasiliano yake. Sababu ni kwamba nina mabaki ya...
0 Reactions
0 Replies
220 Views
Wakuu nimemaliza chuo kikuu mwaka Jana, Nimepambana kwenye kazi za ujenzi za Mtaani nimeweza kupata pesa kiasi cha laki nane[800,000 Tsh] tu. Sasa nimekuja hapa mnipe ushauri nikasomee mtambo...
2 Reactions
7 Replies
569 Views
Habari za majukumu watanzania wenzangu na wadau mbalimbali wa elimu. Mimi ni mwenyeji wa mikoa ya nyanda za juu kusini. Nyanda za juu kusini especially mkoa wa ruvuma na jombe ni Kanda ambayo...
0 Reactions
1 Replies
384 Views
Waliokuwa naye hapa Ndanda tunaomba taarifa. Hiki kibali ni kizito sana
13 Reactions
64 Replies
3K Views
Kwa mwanafunz aliyepata Mathematics F, Geography E na Economics E je anaweza kusoma Diploma ya Accountancy ila mathematics o level alikuwa na C ya mathematics
1 Reactions
2 Replies
459 Views
Nikiwa elimu ya msingi, nimecharazwa sana bakora kisa namba za Kirumi. Huku maishani haya makorokocho hayajawahi kuniingizia hata Senti Moja. Kwanini wizara isiondoe masomo haya yakishenzi...
8 Reactions
23 Replies
1K Views
Usaidizi wa application ya scholarship hii utatolewa, contact www.researchlinktz.com, visit the Opportunities page for more assistance.
1 Reactions
8 Replies
945 Views
Anonymous
Miundombinu ya vyoo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) haswa upande wa Hostel za Social umekuwa kikwazo kwa wanafunzi wanaotumia hivyo tunaomba mamlaka ishughulikie hili suala kwa afya bora za...
1 Reactions
6 Replies
959 Views
MAISHA bhana ZAMANI MLISEMA WALIMU NI KAZI MBAYA... Sasa hivi mnaililia... Waacheni walimu wainjoi
0 Reactions
6 Replies
461 Views
Anonymous
Kero yangu ni kucheleweshewa majibu ya kusitisha mwaka wa masomo (postponement) hasa kwa vyuo Kama UDSM jambo linalofanya baadhi ya wanafunzi kushindwa kuendelea na masomo kwa sababu ya...
1 Reactions
0 Replies
284 Views
Back
Top Bottom