Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kazi ipo walimu,sio mcheza leo kwa mara ya kwanza waziri wa elimu prof mkenda amesema kwanini walimu tunasailiwa. Jipangene jamaa wapo siriasi. Tusipovuka mwaka huu vigezo vya msimu ujao vitakuwa...
4 Reactions
8 Replies
829 Views
Habari wanajukwaa! Je, kuna utaratibu wowote kwa shule ya Sekondari kuamuru kumfukuza shule mtoto mwenye ufaulu hafifu? Nimekutana na hii scenario katika shule moja ya Sekondari iliyopo mtaa wa...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari Natafuta english medium primary school kwa Dar es salaam zenye school fees below 1 million . Kuna research nahitaji kufanya nao niwasiliane nao. Ntapendelea kwa Dar eneo lolote. Asante
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu Habari za Wakati, Kuna kijana kaniomba ushauri juu ya kipi akasome Veta, hasa long course. Kwa ufahamu na uelewa wangu nime mshauri ajaze kozi zifuatazo; 01. Designing, sewing and clothing...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Toka miaka ya 1700s tumekuwa tukifundishwa ya kuwa mwanga wa jua unatengeneza hewa ya oxygen kupitia photosynthesis, mfumo muhimu wa kiasilia unaofanya maisha ya dunia kuendelea kuwepo, mimea...
7 Reactions
36 Replies
1K Views
Habari zenu humu ndani, Nauliza mfano mtu kamaliza form four 2018 na akaend diploma akamaliza 2022, je anaweza apply mwaka 2025 kusoma diploma ya afya mfano MUHAS na kupata au achague tu private...
2 Reactions
11 Replies
885 Views
Naomba kuuliza bwana jf kuwa ada ya shule ya sekondar st Anthony ada yake ni kiasi gani kwa anayetaka kujiunga. Tafadhal kwa anayejua anijuze
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hata humu sijaona wadau wa maendeleo kama LIKUD na wengine team kataa EMS. Mada za kijingajinga ndo zinapewa airtime😀😀😀.Hili taifa limekumbwa na nini???!!!
5 Reactions
37 Replies
1K Views
Ni kozi gani? Ambayo huwezi mshauri ndugu au rafiki au mtoto wako aisome??
4 Reactions
5 Replies
499 Views
Wakuu naomba ushauri kati ya kusomea bachelor ya forest na bachelor ya animal science ipi ipo vizuri ki ajira pia katika usomaji ipi haipo complicated na ipi ipo kirahisi katika usomaji msaada...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Eti wadau kuna baadhi ya shule zipo kwa ajili ya wanaume pekee au wanawake pekee. Lengo ni nini??
5 Reactions
31 Replies
1K Views
Kwa wale Old Boys wa Old Moshi Secondary School (Moshi Secondary School), Bila shaka tunaikumbuka shule yetu. Shule hii pasi na shaka inastahili kutambuliwa kwamba ni Shule Kongwe. Kwa tuliosoma...
2 Reactions
47 Replies
12K Views
Mimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka jana na nilipata ufaulu ufuatao CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'D' Ni kipi kitakuwa sahihi zaidi...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Hello! Sipo hapa kuwabenza ama kuwananga hapana ninachohitaji kujua/kufahamu ni kuhusu elimu zenu hizo mmezipambania kwa udi na uvumba na kwa gharama huku mkijinyima sana.Kwa kifupi hongereni...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Habari za siku ya leo, Swali lang ni kwa yeyote anayejua baadhi ya vyuo mbalimbali vinavyotoa degree za computer science. Nitashukuru Sana maana nipo kwenye mikakati ya kutafuta ila sioni...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Ipi kozi nzuri kati ya hizi 1/ Computer engineering - UDOM 2/ cybersecurity and digital forensics - UDOM Naombeni ushauri wenu jamani
2 Reactions
28 Replies
5K Views
First of all.let me.declare interest, Mimi NI Alumni wa Mlimani Primary School, a class of 1998. Nimekutana na classmate wangu akiwa na mtoto wake ambae amemaliza darasa la Saba mlimani Primary...
9 Reactions
91 Replies
14K Views
Navigate www.researchlinktz.com and view the "Opportunities' page to see this scholarship. If you want to apply we can give assistance. You can write to info@researchlinktz.com or see contacts in...
0 Reactions
2 Replies
511 Views
Habarizenu wanajukwaa, Naombeni ufafanuzii kuhusu course tajwa hapo juu kuhusiana na kazi zakufanya baada ya kumaliza masomo chuona, chuo kipi Bora hapa Tanzania katika utoaji wa course tajwa...
1 Reactions
34 Replies
7K Views
Habari wana JF hongerini na ujenzi wa Taifa letu pendwa TANZANIA Wakuu Naomba msaada wa mambo kadhaa juu ya kozi ya usimamizi wa wanyama Pori. Nimechaguliwa kujiunga na Chuo Cha usimamizi wanyama...
2 Reactions
40 Replies
52K Views
Back
Top Bottom