DOKEZO Form 4 wengi wanataka kusomea diploma ila vyuo ni vichache, kuna kila dalili za rushwa kuombea watoto nafasi za udahili vyuoni

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

wastani kwa idadi

JF-Expert Member
Jun 28, 2024
503
1,429
Wazazi wamestuka, Vijana wametuka, zama zimebadilika,

Kwa upepo ulivyo Advance inaenda kupoteza thamani yake, yaweza kugeuka kuwa kapu la taka kwa wanafunzi wanaokosa vyuo.

watu wamepima mzani wa kwenda advance na kwenda chuoni kwa mazingira ya Tanzania ya sasa wamena kwenda advance kuna advantage zaidi hasa kwenye kupanua wigo wa ajira, hivyo wazazi wanahakikisha wanafanya kila namba kuongeza chances kwa watoto.

Kuna wanafunzi na wazazi wa wanafunzi waliomaliza form 4 wenye 1 na 2 zao wamekuwa wakiniomba ushauri wa kozi za kusomea na vyuo vya kusomea, hali hii imenistua maana vyuo havijaanza hata kudahili, ni mapema sana,

Vyuo vipo vichache sana na kuna demand kubwa sana, imegeuka kuwa gombania goli, kuna harufu kali ya rushwa
 
Habari wana jf,,wakubwa shikamoo.. Mimi ni mwanafunzi nimemaliza form 4 mwaka jana nimepata 2 nataka nikasome IT je naweza kusoma diploma?
 
Back
Top Bottom