Mlimani Primary School

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,115
27,099
First of all.let me.declare interest, Mimi NI Alumni wa Mlimani Primary School, a class of 1998.

Nimekutana na classmate wangu akiwa na mtoto wake ambae amemaliza darasa la Saba mlimani Primary school. Honestly.she is very Bright. Mpaka.nimejilaumu kwanini sikumpeleka binti yangu at Mlimani Primary School ( Na yeye kamaliza darasa la Saba kwenye Shule.moja ya English Medium)

Sioni tofauti yoyote kati ya watoto wa Mlimani Primary School Na watoto wa other English medium schools. Sana.sana watoto wa hizo.English.medium schools Wana confidence tu ya kuzungumza kwa kiingereza lakini Mambo mengine NI kawaida sana.

Mnaoishi jirani na Mlimani Primary School acheni kupoteza mamilioni kuwapeleka watoto wenu English Mediums wakati Mlimani Primary School.ipo.

Kumpeleka mtoto wako English medium.wakati unaishi uswahili NI upuuzi tu.kwa sababu toto.lako.likitoka shule linakuja.kucheza na watoto.wenzake wa uswahilini ambao wanasoma.st kayumba.

Mzazi mpeleke mtoto wako.shule ya ya Msingi ya kawaida, msimamie vizuri, matuition kwa kwenda mbele halafu hayo.mamilioni ya kulipa.ada shule ya Msingi mtunzie utakuja.kuyatumia kulipa.shule nzuri ya secondary na nyingine zitamsaidia kwenye maisha yake ya baadae.
 
Kuna mdada alisoma shule za hela, mimi nimesoma shule ya serikali,
akiwa anaongea english mpaka nilikuwa najistkia muda mwingine.
Tulikuta kidato cha kwanza, akiwa anaongea kingeleza mpaka nikawa naogopa.
Mtihani umefika, ule wa kidato cha pili, masikini hata haonekani, amefeli vibaya sana.
Kumbe ni kingeleza cha kuongea tu, lakini mambo mengine namzidi mno
 
Kabisa aisee tunapoteza mamilioni ya pesa na kujipa stress bure
 
First of all.let me.declare interest, Mimi NI Alumni wa Mlimani Primary School, a class of 1998.

Mpaka.nimejilaumu kwanini sikumpeleka binti yangu at Mlimani Primary School ( Na yeye kamaliza darasa la Saba kwenye Shule.moja ya English Medium)

Hongera mkuu. Ulimaliza darasa la saba mwaka 1998, na tayari una mtoto ameshamaliza darasa la saba. Hongera sana
 
Thanks mkuu, mtoto wa ujanani kazaliwa 2007.
First of all.let me.declare interest, Mimi NI Alumni wa Mlimani Primary School, a class of 1998.

Mpaka.nimejilaumu kwanini sikumpeleka binti yangu at Mlimani Primary School ( Na yeye kamaliza darasa la Saba kwenye Shule.moja ya English Medium)

Hongera mkuu. Ulimaliza darasa la saba mwaka 1998, na tayari una mtoto ameshamaliza darasa la saba. Hongera sana
[/QUOTOtolOt
 
First of all.let me.declare interest, Mimi NI Alumni wa Mlimani Primary School, a class of 1998.

Nimekutana na classmate wangu akiwa na mtoto wake ambae amemaliza darasa la Saba mlimani Primary school. Honestly.she is very Bright. Mpaka.nimejilaumu kwanini sikumpeleka binti yangu at Mlimani Primary School ( Na yeye kamaliza darasa la Saba kwenye Shule.moja ya English Medium)

Sioni tofauti yoyote kati ya watoto wa Mlimani Primary School Na watoto wa other English medium schools. Sana.sana watoto wa hizo.English.medium schools Wana confidence tu ya kuzungumza kwa kiingereza lakini Mambo mengine NI kawaida sana.

Mnaoishi jirani na Mlimani Primary School acheni kupoteza mamilioni kuwapeleka watoto wenu English Mediums wakati Mlimani Primary School.ipo.

Kumpeleka mtoto wako English medium.wakati unaishi uswahili NI upuuzi tu.kwa sababu toto.lako.likitoka shule linakuja.kucheza na watoto.wenzake wa uswahilini ambao wanasoma.st kayumba.

Mzazi mpeleke mtoto wako.shule ya ya Msingi ya kawaida, msimamie vizuri, matuition kwa kwenda mbele halafu hayo.mamilioni ya kulipa.ada shule ya Msingi mtunzie utakuja.kuyatumia kulipa.shule nzuri ya secondary na nyingine zitamsaidia kwenye maisha yake ya baadae.
Hii fashion mpaka ipite tutakuwa tumeshakuwa masikini wa kutupwa.Lakini hii imechangiwa na yale mambo ya kwenda kwenye interview unakuta anaye pata kazi ni yule mwenye confidence na kizungu ana flow vizuri...
 
Aiseee
Mi naona wazazi wasomeshe watoto kwa malengo.
Je unamwandaa mwanao kuwa nani?
Mfanyabiashara?
Mwanasiasa?
Daktari?

Je shule zinazokuzunguka zina toa elimu kwa kiwango gani?

Je kuna sababi ya kumpeleka shule za kiingeleza wakati mtihani wa taifa ni ule ule kasoro lugha?
 
Hii fashion mpaka ipite tutakuwa tumeshakuwa masikini wa kutupwa.Lakini hii imechangiwa na yale mambo ya kwenda kwenye interview unakuta anaye pata kazi ni yule mwenye confidence na kizungu ana flow vizuri...
Yeah kabisa unakuta mtu ana watoto watatu wote wanasoma.English medium. Kila mtoto Ada kwa mwaka sh. Millioni tatu Hadi nne. Anaish kwenye nyumba ya kupanga. Hana kiwanja Wala investment yoyote ile ya maana. Anacho ona ufahari NI watoto wake kurudishwa nyumbani na school bus
 
St kayumba wana kitu kinaitwa content kwa maana ya kwamba anaweza akawa hajui hicho kiingereza lakini ukimwambia chora ramani ya Tanzania akaķuchorea vizuri tena bila wasiwasi kitu ambacho watoto wa english media wenyewe hawana ila wanakomaa na kujua lugha only.
 
Hiyo Mlimani Primary School iko Mkoa na Wilaya gani hapa Tanzania? Maana hata mimi niliwahi kusoma Mlimani Primary School iliyopo Tarafa ya Mang'ula, Wilayani Kilombero, Mkoani Morogoro miaka ya mwishoni mwa 80 kabla ya kuhama nikiwa darasa la pili!
 
Ipo dar Es salaam
 
Ni ukweli kabisa mkuu
 
First of all.let me.declare interest, Mimi NI Alumni wa Mlimani Primary School, a class of 1998.

Mpaka.nimejilaumu kwanini sikumpeleka binti yangu at Mlimani Primary School ( Na yeye kamaliza darasa la Saba kwenye Shule.moja ya English Medium)

Hongera mkuu. Ulimaliza darasa la saba mwaka 1998, na tayari una mtoto ameshamaliza darasa la saba. Hongera sana

hata mimi nimeshangaa.. nimemaliza la 7 mwaka 2000.. now nipo around 30s nimezaa mapema tu. ila mwanangu hata la 3 hajafika.. niliwaza huyu aliemaliza miaka miwili mbele yangu.. ana mtoto kamaliza la saba , tena sio yeye peke yake na classmate wake ana mtoto kamaliza la saba nikajua chai tu
 
Back
Top Bottom