Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari, wadau napenda kujua kuhisi hii fani mpya ya data Science kwa upande wetu huku Tanzania naweza kuipata chuo gani nijue. Chuo kinachotoa fani hiyo Level (cheti shahada) Ada Vigezo vya fani...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Wakuu naomba mnisaidie nikifanya maombi ya cheti cha kidato cha 4 kilichoungua naweza kukipata kwa muda gani? Najua humu wazoefu wapo na je kama, Nina haraka nacho sana hicho cheti nofanyaje Ili...
0 Reactions
5 Replies
676 Views
CHUO Cha TABORA EA polytechnic kimekuwa JANGA kwa wanafunzi wanaosoma hapo kwani wanachuo wanalazimishwa kumaliza ada ya mwaka mzima ndani ya semester ya kwanza na bila hivo wasiomaliza hawafanyi...
1 Reactions
2 Replies
355 Views
Niko kwenye prosses za kusajili taasisi ya kusaidia jamii hasa wanafunzi na vijana walioko kwenye mazingira magumu. Taasisi hiyo itaitwa NOVA INUA ORGANIZATION (NIO) yenye lengo la kusomesha...
0 Reactions
4 Replies
479 Views
Wanajaamiii naomba mnisaidie kupata msaada wa kujua maeneo ambayo naweza kufanya field mkoa wa mwanza kozi Ni electrical and railway electrifriction engineering 🙏
1 Reactions
1 Replies
408 Views
Natumai barua hii itakufikia salama. Mimi ni mzazi wa mwanafunzi aliye katika Kidato cha Pili katika Shule ya Sekondari Mkuu, wilayani Rombo. Nimeandika barua hii kuwasilisha maswali na malalamiko...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Wapi vijana bado wanasoma BA Archaeology ili waje kufanya kazi wapi?
1 Reactions
6 Replies
419 Views
Samahan sana ,,wana jf wenzang nilikuwa naomba mnijuze kuhusiana na hii kozi mpya ya biomedical engineering inayotoa diploma tu kwenye vyuo viwili Tanzania ambapo ni DIT na ATC pekee .Nilikuwa...
0 Reactions
34 Replies
21K Views
Nimepata taarifa miaka kadhaa ya nyuma DIT ilikua inatoa hii course. Naomba kujua kwa upana kidogo inahusika na vitu gani? Kwa wenye taarifa au utaalamu wa hii course pia ajira zake ziko vipi
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Tafadhali! naomba ushauri juu ya kusoma diploma kozi ya Biomedical engeering.nimemaliza kidato cha sita PCM nimepata DEE Degree nadhani nafasi ipo kwa upande wa education tu! nami huko sitaki...
2 Reactions
49 Replies
6K Views
Mwenye uelewa wa kozi tajwa hapo juu naomba anipe ufafanuzi. Hii kozi inahusiana na nini? Ili uweze kusoma hii kozi unatakiwa usome mchepuo upi? Ukisoma hii kozi unafanya kazi gani na wapi? Je...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Je ni kozi nzuri?
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Meneja wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald (wa pili kutoka kushoto), akizungumza katika uzinduzi wa kongamano la Utafiti Elimu Tanzania la mwaka 2025 lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Dar...
0 Reactions
0 Replies
305 Views
wana jf naomba msaada! kuna kipindi serikali ilipiga marufuku kufundisha tuition mashuleni. mwaka gani? nani alikuwa waziri? sheria( policy) gain ilitumika? asanteni
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Vipo vitabu used vya waandishi wafuatao💃🕺 MEP, TIE, Oxford na Adamson na kireri Vinapatikana dar es salaam 🇹🇿 vipo vya primary na secondary baadhi karibu sana unaweza kununua Kwa Bei ya jumla pia...
0 Reactions
2 Replies
420 Views
Wapendwa habari ya uzima wetu. Samahani naomba msaada Nahitaji kufanya maombi ya nafasi kwa vyuo vya afya vya kati lakini sielewi dirisha linafunguliwa lini. Tafadhali naomba msaada kwa aliyewahi...
3 Reactions
2 Replies
733 Views
Anonymous
Kitendo Cha Shule za msingi ndani ya manispaa ya Urambo mjini mkoani Tabora kuwaruhusu wanafunzi wa madarasa ya la Saba kutoka shule Muda mbaya kuanzia saa mbili mpaka saa tatu usiku kunawaathiri...
0 Reactions
0 Replies
253 Views
Msaada natafuta mwalimu wa "wildlife ecology" anaye patikana dsm.
3 Reactions
11 Replies
533 Views
Wakuu, I am looking for Advanced Math Books Vol I and II by TIE/Kinunda. I will accept used copies at reasonable prices. Natanguliza shukrani.
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Back
Top Bottom