Masiya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 7,602
- 7,344
TCU wametoa tangazo la wale waliokumbwa na kadhia ya multiple selection na walio omba tena baada ya kuwa approved. Mimi binafsi nafahamu kesi mbili za watu waliotupwa kwenye kundi ambalo hawakutakiwa kuwa huko, kwa mfano mtu ameconfirm lakini ana ambiwa haja confirm na anapachikwa course ambayo hajaomba. Mwingine ameconfirm baada ya kupata round one selection lakini ana ambiwa ameomba tena ukiangalia course anazoambiwa amepata ni kweli aliomba round ya kwanza lakini ukipitia matangazo ya chuo yote ya selection huoni jina lake. TCU wametatua hili kwa kuwaomba waende vyuoni wakajisajili (pale wanapenda).
Issue inayokuja je taarifa zao zitawafikia bodi (HESLB) kabla ya kutoa Round 3 ya mikopo au ndo wamesha chelewa? Na chuo huwa hawakusajili kama hujalipa ada iwe ya mkopo au kujilipia. Sasa wale wenzangu na mimi waliokumbwa na kadhia hii na hawana uwezo wa kujilipia hatma yao ni ipi. Kuna ku appeal HESLB lakini process yao inachukua muda na kama huna chanzo mbadala cha ada masomo ndo basi.
Vijana na wazazi hapa wanabaki roho juu na ni wazi TCU nao hapa mwisho wamechanganya madesa hawaeleweki data ipi ni sahihi.