FarryDeGreat
Member
- Oct 18, 2017
- 5
- 1
Naomba kusaidiwa jamani pesa ambayo inaingia kwenye account ya chuo ni ipi na pesa ya kujikimu ni ipi kutoka kwenye ule mgawanyo (loan breakdown wa Heslb)........!
ShukraniHela yote wanapewa chuo then wao wanachukua tuition fee nyingine wanaweka kwenye account ya mwanafunzi kama meals & accommodation, stationary, field, n.k member wengine wataongezea kama nimesahau kutaja vingine