Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari zenu ndugu. Kuna mdogo wangu amechaguliwa kujiunga katika chuo cha private hapa dar es salaam, amesha-confirm na kashalipa nusu ya ada kwa ajili ya usajili na ameshasajiliwa. Sasa tatizo...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Hiii ndio ilikua post yangu kabla ya kupangiwa ajira yangu mwaka 2015. "My name is Sir Chichi, I will be with you in English and History. I need your cooperation, thenk yuu pwaa pwaaaaa."...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Serikali ibane matumizi kwa kuzipa kazi benki za NMB na CRDB kazi ya kukopesha na kudai madeni madeni ya wanafunzi. Benki zina utaalam zaidi wa kukopesha na kudai madeni kwa wanafunzi kuliko watu...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Jamani wanaJF. Naombeni ushauri mimi mwaka wa kwanza, naombeni mnishauri kwa mchepuo wa HGL. Nisome vipindi gani chuo maana wanasema geography na language ni ngumu.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa wale tulio bahatika kuanza first year, tulio-graduate na tunaoendelea na masomo HKMU (certificate, diploma, undergraduate, postgraduate etc, ) Karibuni sana tufahamiane ,tueleweshane na kwa...
1 Reactions
19 Replies
6K Views
Toka Rais Magufuli aingie madarakani sijasikia maandamano ya wanavyuo kuelekea HELSB kudai fedha za mikopo ya elimu ya juu. Hii ilikuwa ni kero kuu iliyokuwa inapelekea kuibua migomo ya mara kwa...
4 Reactions
35 Replies
7K Views
Kumekuwepo na 'slogan' nyingi zinazotumika katika kutanabaisha umuhimu wa Elimu kama vile: Elimu ni ukombozi! Elimu ni kazi! Elimu kwa maendeleo! Elimu ni juhudi na maarifa n.k. Hii yote inalenga...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
Habari wadau, Huwa natamani sana sana niwe nime register pia katika fani ya uhandisi.. Nimesajiliwa katika Bodi ya manunuzi,pia huwa napenda kusajiliwa ktk bodi ya uhandisi nipo viwandani sugar...
0 Reactions
79 Replies
11K Views
Names of candidates who have been approved and awarded a scholarship to study here in china from Tanzania for the said academic year, by CSC regards, for those comming to tianjin ...PM tafadhali...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hili ni kwenu vijana wa kitanzania wasomi wa vyuo vikuu. Vijana hamfahamu hata HAKI zenu za msingi yani hamjielewi, hamjitambui na mpo mpo tu kama juzi na jana vile. Mambo mengi ya hovyo...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Waraka wa Elimu namba 6, wa mwaka 2015 kuhusu utekelezaji wa Elimu ya Msingi Bila Malipo, ambao kwa mujibu wa waraka huo elimu msingi inaanzia Awali hadi kidato cha nne, umeanza kutekelezwa na...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
utakuwa baloZi usijali
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Napenda kutanguliza shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa kuweza kunipa pumzi ya uhai mpaka dakika hii, kuna waliotamani kuiona siku ya leo ila kwa neema yake wametangulia mbele za haki. Napenda...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Wapendwa, Nina shida nanyi,kama hamtojali naona mjongee hapa. Karibuni sana.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Licha ya Mtaala wa elimu kubainisha mambo ya msingi ya kuweza kufanikisha elimu ya awali, lakini serikali haitoi ruzuku kwa wanafunzi wa elimu hiyo ili kugharamia mahitaji yao wawapo shuleni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
THE UNIVERSITY OF DODOMA HUMANITIES SCHOLARSHIP The University of Dodoma (UDOM) wishes to announce the call for application for The University of Dodoma Humanities Scholarship for undergraduate...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Msaada wanajamvi nawezaje kuapply kozi za diploma za afya nimeona available slot kwenye website ya nacte lakini hakuna maelekezo yoyote
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanaforum naomba kuuliza kwa waliokosa mkopo awamu ya pili, je kuna awamu nyingine au ndo basi tena?
1 Reactions
47 Replies
12K Views
Habari wadau mimi nimechaguliwa kujiunga na chuo pale IFM certificate first year 2017/2018 lakini bado sijaripoti wala sijafanya usajili mpaka sasa na hii ni wiki ya pili tangu chuo kifunguliwa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wanajamvi natamani kuongeza maarifa kichwani mwangu kwa kusoma vitabu natamani nikiwa naongea na watu bac nitoe mifano kupitia vitabu.. Hv ni vitabu gan visivyo chosha kusoma yawezekana...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…