Kuhama chuo kwa muda huu na katika condition hizi

Joel360

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
981
631
Habari zenu ndugu.

Kuna mdogo wangu amechaguliwa kujiunga katika chuo cha private hapa dar es salaam, amesha-confirm na kashalipa nusu ya ada kwa ajili ya usajili na ameshasajiliwa. Sasa tatizo linalokuja hapa ni kwamba ada ni kubwa sana kwa makadirio ni million 2.1 na yeye mkopo amekosa.

Sasa wazo lililotujia hapa ni kumpeleka chuo cha serikali UDOM, sasa ndugu zangu naomba msaada wenu Je, inawezekana kuhama chuo katika hatua hii na ni hatua gani tunapaswa kufuata ili kukamilisha uhamisho kutoka private university kuelekea UDOM.

Natanguliza shukrani.
 
Mzee Kuna kitu kinaitwa Inter-University Transfer yaani inawezekana kabisa wahi kwenye site ya TCU chaap
 
Asante Kaka

Unaweza kutusaidia hatua za kufuata?
Fungeni safari hadi chuo kikuu cha Dodoma kisha mkifika pale nendeni utawala mkuu ulizieni ofisi ya Director WA undergraduate then ukifika hapo eleza shida yako kuwa mdogo dogo alichaguliwa chuo Fulani ila tungependa ahamie udom. Utaulizwa sababu za kuhama na wataangalia kama hiyo kozi anayotaka kuhamia ina nafasi au LA ( kozi nyingi kwa udom zina nafasi isipokuwa kozi za afya tu). Kama INA nafasi utapewa form ya kujaza then atachagua abaki hapohapo aendelee na kitabu wakat akisubiri taratibu za usajili au arud huko alikochaguliwa asikilizie. Wakishatoa majibu rasmi kabla hajaondoka kwenda udom atalazimika kutoa taarifa chuo alichosajiliwa hapo awali ili wamuondoe kwenye system. Process itaishia hapo.
 
Asante kaka. Na vipi kama tukichagua kuandika barua badala ya kwenda moja kwa moja?
 
Fungeni safari hadi chuo kikuu cha Dodoma kisha mkifika pale nendeni utawala mkuu ulizieni ofisi ya Director WA undergraduate then ukifika hapo eleza shida yako kuwa mdogo dogo alichaguliwa chuo Fulani ila tungependa ahamie udom. Utaulizwa sababu za kuhama na wataangalia kama hiyo kozi anayotaka kuhamia ina nafasi au LA ( kozi nyingi kwa udom zina nafasi isipokuwa kozi za afya tu). Kama INA nafasi utapewa form ya kujaza then atachagua abaki hapohapo aendelee na kitabu wakat akisubiri taratibu za usajili au arud huko alikochaguliwa asikilizie. Wakishatoa majibu rasmi kabla hajaondoka kwenda udom atalazimika kutoa taarifa chuo alichosajiliwa hapo awali ili wamuondoe kwenye system. Process itaishia hapo.
In case UDOM wakakubali na uhamisho ukifanikiwa, tutatumia njia gani kuwajulisha TCU kuwa tumehama chuo.
 
Sasa shobo zilikuwa za nini kumsajili mtoto chuo cha private kama hela amna, wabongo bhana!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom