Je kuna mkopo awamu ya tatu? Na inatoka lini?

nackia leo au kesho wanatoa ila n kwa wale waliochaguliwa vyuo awamu y tatu ndo wanahcla ila c wengne tuliopata chuo awmu y 1 n 2 tsubr mda wa kuappel
 
Mkuu iyo taarifa umeipata wapi au ww ni mfanyakazi wa bodi,mm leo nilikua bodi mbona awajasema hayo ulosema ww?acha kukatisha watu tamaa mkuu.
 
ha ha.. soma taarfa zao vzur za 1 n 2 batch y mkopo utaelewa tcu wanatuma majina bod y mkopo kw awamu 1 ,2 ,3 so ww unatakiw ujijue upo wap chuo ulichochaguliwa umekuwa approved by tcu awamu ipi nazan utakuwa umenielewa
 
Ni baada ya usajili kukamilika vyuoni ndio maana tcu imewaarifu wale wa multiple admission waripoti tar
1/Nov mara moja katika vyuo wanavyotaka kati hivyo walikochaguliwa na baada hapo majina yanapelekwa TCU na Bodi.
Screenshot_20171030-095529.png
 
ha ha.. soma taarfa zao vzur za 1 n 2 batch y mkopo utaelewa tcu wanatuma majina bod y mkopo kw awamu 1 ,2 ,3 so ww unatakiw ujijue upo wap chuo ulichochaguliwa umekuwa approved by tcu awamu ipi nazan utakuwa umenielewa
Vip wale walopata second batch mkopo ilihali walipata first selections na hawakua na multiple? na katika batch ya kwanza yamkopo hawakupata wakaja kupata batch ya pili ya mkipo?
 
ha ha.. soma taarfa zao vzur za 1 n 2 batch y mkopo utaelewa tcu wanatuma majina bod y mkopo kw awamu 1 ,2 ,3 so ww unatakiw ujijue upo wap chuo ulichochaguliwa umekuwa approved by tcu awamu ipi nazan utakuwa umenielewa
Hizi nifununu tu akuna ukwel wowote tusubiri iyo batch ya tatu ndio ukwel utajulikana
 
Wanaforum naomba kuuliza kwa waliokosa mkopo awamu ya pili, je kuna awamu nyingine au ndo basi tena?

Ipo awamu nyingine usihofu
 
Attachments

  • 19181530_129815204265147_926058218180837376_n.mp4
    5.1 MB · Views: 41
Nasikia eti batch 3 tayari imetoka eti kuna jamaa mmoja nipo nae hapa dit anasema tayari eti wanatoa kama kuna mtu analink ya hayo majina atuwekee hapa basi aise.
 
Wametoa tangu tarehe 30 mwezi 10 na TCU waliwapa nafasi vyuo kukamilisha udahili mpaka kufikia tarehe 1 mwezi huu
 
Back
Top Bottom