Hivi kuna walimu wa Bible Knowledge humu?

Hivi kuna walimu wa Bible Knowledge humu?

Online Pastor

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Posts
1,948
Reaction score
1,524
Wapendwa,

Nina shida nanyi,kama hamtojali naona mjongee hapa.

Karibuni sana.
 
Chuck j

Nashukuru kwa kuitikitia wito.

Naomba unisaidie pdf format ya syllabus ya Bible Knowledge kwa O-level
 
ngebo

Shukrani kwa kuitikia wito.

Naomba pdf format ya syllabus ya Bible Knowledge,au waweza nitajia topics zote toka kidato cha kwanza hadi cha nne!
 
Back
Top Bottom