International Relations and Diplomacy

Jokho

Member
Feb 9, 2017
16
7
Kuna hii kozi nimeiona amechaguliwa mdogo wangu inaitwa IR's (INTERNATIONAL RELATIONS AND DIPLOMACY) Kwa anaeijua inahusu nn zaidi na vipi kuhusu ktk ushndn na kozi zngne ktk soko la ajira na umuhimu wao ni upi hasa ktk, jamii na nchi kiujumla kazi zao ni zpi NA wanauwanj mkubwa kias gn ktk soko la ajira?
Msaada plz
 
Mi nasikia sikia tuu inahusu mambo ya ubalozi na diplomasia ndani na nje ya nchi
 
Back
Top Bottom