Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Naomba msaada kwa Past papers na Jinsi ya kukabiliana na hii course ..haswa learning material nisaidieni wapi napata learning material na kama uwezekano upo naweza kulipia.niko level4
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Samahanini wana zuoni naomba mnisaidie kujua hv UDSM kuna kozi ya udaktari wa binadamu kama ile inayotolewa muhimbili,kama ipo ,ipo kitivo gani
2 Reactions
42 Replies
10K Views
Jamani tunaomba process za kurudisha mikopo kwenye vyuo husika ifuatiliwe haraka
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Inashangaza kuona kuwa heslb walitoa nafasi ya wiki moja tu ya kukata rufaa, lakini wao zinakaribia kumalizikia wiki mbili sasa bado wako kimya kuhusu matokeo ya rufaa za watu. Kama hakuna...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Jamani kama wewe unaweza kuprint kitabu na uko arusha au moshi wasiliana nami kwa inbox
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nilikua najaribu kufuatilia tatizo la mikopo ya elimu ya juu mfano kwa vyuo vikuu vilivyoko mkoani Dar es salaam, yaani mtu una uweza kutokwa machozi. Ni idadi kubwa sana ya wanafunzi ambao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Prof Anangisye ameukwaa U-VC wa UDSM na kuchukua nafasi ya Prof. Mukandala aliyemaliza muda wake.
1 Reactions
8 Replies
12K Views
Jamani hivi mnaionaje degeree ya miaka hii?? Mimi naona kama imechuja sana haina makali kama miaka ya nyuma, uzito wa degree ya sasa inavyochukuliwa mtaani ni sawa na uzito wa anaehitimu form...
1 Reactions
61 Replies
6K Views
Wakuu mlioko kwenye system,mnaonaje hali ya sasa kwa ajira na fursa katika kada hii,bado zipo open?,au watu ambao wanasoma saivi waanze kujiandaa kisaikolojia kuwa mambo sio rahisi?.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini wadau wa Jamiiforums naomba kuuliza hivi fani ya mitambo au ufundi mitambo unaotolewa VETA Chang'ombe ni fani inayohusu kutengeneza au kujifunza mitambo kama ipi naomba msaada wenu
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ni wiki sasa mtandao wa wanafunzi Tanzania(TSNP) tumekuwa tukipata malalamiko kutoka chuo cha IFM juu ya kutoingiziwa fedha zao pamoja na karatasi za kusaini hadi sasa. Kubwa zaidi chuo hicho...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wana jamvi?!.naomba kuuliza kwa mfano nataka kuhama chuo labda kutoka Udsm kwenda mzumbe ,Na huku udsm nmeshachukua boom tayari kabla ya kuhama .. je Kuna uwezekano wa mkopo wangu uliobaki...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Nimemaliza chuo kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2009, ila kiukweli nilikua napokea mkopo toka HELSB 60%, ilikua ndogo ila ilivuta mpaka miaka mitatu ikaisha. Baada ya kumaliza chuo nilipata kazi...
2 Reactions
17 Replies
5K Views
Naomba anayejua minimum entry qualifications for medicine. DDS aniwekee hapa. Possible scenarios of combinations of passes asante
0 Reactions
4 Replies
1K Views
PINDUA PINDUA UNIVERSITY CONCERT Wizara Ya Michezo na Burudani TuMaSo inapenda KUWAKARIBISHA Jumuiya ya WanaTuMa wote, Vyuo Jirani katika Vodacom University Concert itakayofanyika siku ya tarehe...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nimejaribu kufanya installation ya Tv na aking'amuzi cha Star Times outdoor antenna, channel zinaoneka zikiwa in black and white, na haitoi sauti. Tatizo linaweza kuwa wapi ?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau habari zenu , Naombeni kufahamishwa sehemu ambayo wanafundisha lugha ya kikorea maeneo ya dar es salaam.
0 Reactions
1 Replies
928 Views
Mimi ni mwanafunzi wa university ni mwaka wa 3 nimekataliwa research proposal mara 5, naombeni msaada wa research title kila awamu naambiwa problem is already known sasa hadi nashindwa kujua...
1 Reactions
125 Replies
15K Views
Habarini wakuu naomba wenye uelewa wa hizo fani wanisaidie kujua vyuo vinavyotoa hizo kozi pia soko lake kwa kujiajiri lipoje?.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Salam kwenu wakuu, hii kero ya usafiri kwa wanafunzi wa UDOM inaelekea kua sugu sasa, utaratibu mbovu wa stendi ya daladala Jamatini umekua ukichangia pia kero hii kwa kiasi kikubwa, Nashauri...
1 Reactions
34 Replies
7K Views
Back
Top Bottom