Hivi ni kwanini kuna utaratibu tofauti kati ya halmashauri moja na nyingne katk utoaji wa hela za kujikimu kwa watumishi (waalimu wa sayansi) walioajiriwa Mwaka huu?
Kuna ambao walipewa hzo pesa...
Husikeni na somo tajwa! Naomba kujua namna ya kupata sponsorship ya Chuo kikuu Huria cha Tanzania (OUT) ngazi ya Shahada ya Uzamivu katika Elimu. Natamani kufikia lengo hili lakini uwezo wa...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza orodha yenye wanafunzi 2,679 waliopata mikopo yenye thamani ya Sh9.6 bilioni baada ya kukamilika uchambuzi wa rufaa walizowasilisha...
Chuo cha IFM kuna wanafunzi ambao ni wanufaika wa mkopo hawajafanya registration mpaka leo, kila tukifwatilia loan officer anasema majina yanashughulikiwa ni mwezi umepita sasa....
WAHUSIKA...
Serikali kuajiri waalimu wa shule za msingi na sekondari
Serikali imepanga kuajiri walimu 11,000 wa shule za msingi na sekondari katika mwaka wa fedha wa 2017/18.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais...
Jamani nilikuwa nahitaji msaada wa kujua chuo cha ufundi Mikumi nilikuwa nahitaji kujiunga hapo mwakani level three kwa fani ya umeme kwa anayejua naomba anipe taarifa wana anzaga mwezi wa ngapi...
Hello guys
Kwa wale mliosomaga feza boys au wenye ndugu zenu waliopo feza boys, nasikiaga feza boys wanaonyeshwaga mitihani (sina uhakika). sasa swali langu linakuja hivi
1) Wanafunzi wa feza...
April 15, 2017 lilitokea jambo ambalo wengi hatukulitarajia katika Sekta ya Elimu hasa Elimu ya Vyuo Vikuu.
Kuna watu ambao wanaushawishi ama kutokana na sifa zao au kutumia nguvu kulingana na...
Leo kwenye gazeti la Daily News wamechapisha titles za PhD theses walizoandika watunukiwa 80 wa PhD za UDSM mwaka huu, akiwemo mhe Mwigulu Nchemba.
Nyingine nimezitazama nikajiuliza hivi hii ni...
Afisa Elimu msingi ktk wilaya moja anahangaika kumchafua mwalimu wake Kwa kushirikiana na maofisa wa chini yake.
Chanzo ni ugomvi wa kimaslahi mwalimu kafungua stationary katika kituo cha kazi...
*CWT hawana uwezo wa kutetea walimu kamwe*
*Na commred Chichimizi*
CWT.....ni zao la muajiri mfumo wa trade unions Tanzania ulianzia serikalini ndo maana hata kudai uhuru ulishiriki hivyo cwt...
Wadau wa jamii forums naomb kuuliza hivi chuo cha telecom na electronic pia na chuo cha networking kwa ngaz ya chet kwa Dar es salaam vinapatikana sehem gan na masharti ya kujiunga yapoje
Mimi ni mwalimu nipo kigoma Kalenge Secondary nafundisha somo la kiingereza naomba kama kuna mwalimu yupo songea anataka kuja kigoma tuwasiliane kwa namba 0756292041
Huyu jamaa nimeanza kumsikika mda sana mrefu sana akijitangaza kua ni mwalimu bora wa kiingereza ,huku akijinadi kua usipoelewa utarudishiwa ada yako,sina nia ya kwenda ila kwa waliowah kwenda mje...
MIKOPO YA WANAFUNZI ELIMU YA JUU
Serikali ya awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dk. John Pombe Magufuli imezidi kuonyesha namna inavyowajali Waafunzi wa elimu ya juu kwa kutoa mikopo zaidi kwa...
Hivi hakuna application au website au blog ambayo inasaidia kusolve maswali? Maana kuna muda tunashindwa kusolve maswali chuoni na solutions hazipo. Msaada plz
Ambaye anajua atuambie. Tuwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.