Nimejaribu kufanya installation ya Tv na aking'amuzi cha Star Times outdoor antenna, channel zinaoneka zikiwa in black and white, na haitoi sauti. Tatizo linaweza kuwa wapi ?