Kwa wanasoma au waliosoma pharmaceutical sciences nisaidieni materials

cacacuona

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
659
1,000
Naomba msaada kwa Past papers na Jinsi ya kukabiliana na hii course ..haswa learning material nisaidieni wapi napata learning material na kama uwezekano upo naweza kulipia.niko level4
 
Chacha90

JF-Expert Member
Oct 13, 2017
408
1,000
cacacuona Upo chuo NTA level 4, hujui usome nini?.

Hujui hata vitabu rejea ulizoelekezwa na mwalimu wako??
Kwa mantiki hii na wewe utakuwa pharmaceutical personel?.

Onesha utofauti kati yako na ADDO.
 
cacacuona

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
659
1,000
Upo chuo NTA level 4,hujui usome nini?.

Hujui hata vitabu rejea ulizoelekezwa na mwalimu wako??
Kwa mantiki hii na wewe utakuwa pharmaceutical personel?.

Onesha utofauti kati yako na ADDO.

Shame. Rudi kijijini ukaendelee kuchunga mbuzi. Kusoma kwako ni bahati mbaya
Tatzo unakurupuka mi nimekuta mwenzangu wameanza muda saana ticha hajatoa mwongozo nikauelewa ww unakurupuka vp kk.kama hutaki acha ujalazimishwa.
 
Chacha90

JF-Expert Member
Oct 13, 2017
408
1,000
Tatzo unakurupuka mi nimekuta mwenzangu wameanza muda saana ticha hajatoa mwongozo nikauelewa ww unakurupuka vp kk.kama hutaki acha ujalazimishwa.
Hata kama ungewakuta wenzako wamesoma miezi 20 nyuma,hujui hata course outline???.

Course outline inaonesha kila kitu.
 
cacacuona

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
659
1,000
Hata kama ungewakuta wenzako wamesoma miezi 20 nyuma,hujui hata course outline???.

Course outline inaonesha kila kitu.

Hiki kizazi ni kiazi kabisa.
Hiv unajuaje kitu bila kuuliza kwa wanaoelewa? Nakuja tuu then naelewa every thing? Samahan bro kama huwez kunisaidia Basi Kula kimya..maana unanilazimisha kitu ambacho siwez...hakuna anaeweza uelewa bila kuelekezwa
 
nyamchele

JF-Expert Member
May 28, 2014
1,238
2,000
Naomba msaada kwa Past papers na Jinsi ya kukabiliana na hii course ..haswa learning material nisaidieni wapi napata learning material na kama uwezekano upo naweza kulipia.niko level4
Pole, nitumie email yako inbox nikutumie miongozo niliyonayo
 
Ferrenga

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
944
1,000
Mkuu chuo umeenda kufaulu mitihani au kupata ujuzi dhabiti?...maana mambo ya past paper ni ya sekondari haya!!
 
Ze Heby

JF-Expert Member
Jun 22, 2011
4,593
2,000
Naomba msaada kwa Past papers na Jinsi ya kukabiliana na hii course ..haswa learning material nisaidieni wapi napata learning material na kama uwezekano upo naweza kulipia.niko level4

Mhh..mtakuja kutuua kwa kutuzidishia dose nyie wataalam
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom