Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari ndugu... Kuna mtu kamaliza form4 mwaka 2012,alipata D5 ikiwemo..physcs..Mwaka 2016 aligraduate Kozi ya ICT ngazi ya.certificate G.P.A ya 3.67.,,,, Mwaka kesho 2018...anatarajia kujiunga...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Jamani naomba kufahamu zaidi kiundani course ya ICT, je soko lake la ajira liko vipi na kipi ni chuo kizuri kwa mkoa wa mwanza kinachotoa course hiyo
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Binafsi ninaona ndiyo sababu kubwa ya mada nyingi zinakuwa hazina mantiki kabisa!! Sasa ww unamajina yako halisi ni kwann unatumia majina fake?? Watu wangekuwa wanatumia majina halisi...
5 Reactions
103 Replies
6K Views
Pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosis ndio neno refu kuliko yote katika kamusi ya kiingereza likiwa na herufi arobaini na tano. Maana ya neno hilo ni ugonjwa wa mapafu unaosababishwa na...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Habari za jioni wadau nina mdogo wangu yupo jitegemee sec. Form five ila anataka kukatisha mwezi wa tatu aende akaanze certificate. Naomba tumshauri dogo course gani nzuri ambayo itamfaa Dogo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hello guys, Hawa wanafunzi wanaoshika top 10 kitaifa mitihani ya form 4 wapo smart, na baadhi yao (kupitia international school of moshi) hupata full scholarship za kwenda kusoma kwenye...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Elimu ili iweze kuwa na tija na endelevu, lazima watu wapende kujisomea majarida na vitabu mbalimbali muda wote wa maisha yao. Huduma zetu za Maktaba sio za kuridhisha. Maktaba zetu nyingi...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Dear Readers, I am one of those who aspire to take a professional course in procurement via Procurement and Supplies Professional and Technicians Board famously known as PSPTB, so i did what...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Wale wanafunzi wa O level na A level nchini Tanzania tukutane hapa tujuane. Muombe ushauri kwa yanayokwaza huko shuleni and let us share our experience mkiwa huko shuleni. Haya uwanja ni wenu.
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari zenu wanajukwaa, Nilifanya mitihani ya CPA May, Nilifanya masomo 6 intermidiate na nikafaulu mawili tu (audit na ethics), Kwa sasa nataka kufanyia mtihani haya manne yaliyobaki na moja la...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wapenzi habari za mchana? Mnamo 12/06/2017 Mangi nilifanikiwa kununua Bachelor degree on Business administration with Information Technology kutoka SMC University kinachopatikana huko Zug -...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Naombeni msaada kwa mwanafunzi yoyote anayesoma kozi ya chemistry au mhitimu wa hiyo kozi tuwasiliane.
0 Reactions
5 Replies
916 Views
Naomba msaada wa pdf za vitabu vya primary na sekondari za Tanzania! std1-form iv
0 Reactions
2 Replies
10K Views
Tafadhali mwenye syllabus ya Clinical medicine (clinical officers course) aniwekee hapa. Tafadhali sana.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habar wana jf naombeni nifamishwe mtu akiitimu diploma kwenye fani tajwa anapata fursa fani? Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
1 Replies
596 Views
Za muda huu wakubwa? Naomba msaada wenu,mdogo wangu amefeli masomo hayo kweny mtihani wa kidato cha nne na nia yake ilikuwa ni kuanza kusoma certificate chuo kikuu but masomo yote ya science...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Wakuu, bila kupoteza muda, Kwanza niwasalimu na niwape pole na mihangaiko ya siku nzima. Nia ya huu uzi ni kutaka kufahamishwa ni zipi alama za ufaulu kwa kidato cha sita ambazo ni current. Asanteni
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Nina mdogo wangu amemaliza kidato cha 4 mwaka 2012 ana D zote na C mbili ya kiswahili na Civics yaani div 4:26 je anaweza kusoma nn kipindi hiki? Masomo ya sayansi Phys, Chem, Bios na Maths yote Ana D
0 Reactions
2 Replies
943 Views
Naomba kufahamishwa wana Jamvi, ni lipi jina halisi la huyu Muokozi (Mwana wa Kondoo) Kama huna hoja tafadhali, pita mbali na UZI huu..
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Niko mwaka wa tatu kozi iliyotajwa hapo juu. Niliichukua kozi hii kwa kukosa mwongozo wa vyuo ninavyoweza kusoma kozi hii ambayo niliipenda tangu nikiwa shule ya msingi. Ninachouliza ni kama...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom