Msaada kuhusu course ya ICT

Msaada kuhusu course ya ICT

SuperHb

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2016
Posts
1,020
Reaction score
1,057
Habari ndugu...
Kuna mtu kamaliza form4 mwaka 2012,alipata D5 ikiwemo..physcs..Mwaka 2016 aligraduate Kozi ya ICT ngazi ya.certificate G.P.A ya 3.67.,,,,

Mwaka kesho 2018...anatarajia kujiunga ngazi ya Diploma...ila kasikia taarifa mtaani kwamba ukitaka kusoma IT sharti uwe umefaulu Math.D na kuendelea....na Math aliferi...

Je wakuu kutakuwa na tatizo akisoma diploma(ict)...Huku akiwa kafeli (mathematics)?
Msaada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ndugu...
Kuna mtu kamaliza form4 mwaka 2012,alipata D5 ikiwemo..physcs..Mwaka 2016 aligraduate Kozi ya ICT ngazi ya.certificate G.P.A ya 3.67.,,,,

Mwaka kesho 2018...anatarajia kujiunga ngazi ya Diploma...ila kasikia taarifa mtaani kwamba ukitaka kusoma IT sharti uwe umefauru Math.D na kuendelea....na Math aliferi...

JE WAKUU KUTAKUWA NA TATIZO AKISOMA DIPLOMA(ICT)...HUKU AKIWA KAFELI (MATHEMATICS)?

MSAADA

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na chuo kamanda kama cbe wanamkubali
 
Habari ndugu...
Kuna mtu kamaliza form4 mwaka 2012,alipata D5 ikiwemo..physcs..Mwaka 2016 aligraduate Kozi ya ICT ngazi ya.certificate G.P.A ya 3.67.,,,,

Mwaka kesho 2018...anatarajia kujiunga ngazi ya Diploma...ila kasikia taarifa mtaani kwamba ukitaka kusoma IT sharti uwe umefauru Math.D na kuendelea....na Math aliferi...

JE WAKUU KUTAKUWA NA TATIZO AKISOMA DIPLOMA(ICT)...HUKU AKIWA KAFELI (MATHEMATICS)?

MSAADA

Sent using Jamii Forums mobile app

huyo anasoma bila shida maana ni indirect entry hiyo atatumia Cheti cha certificate na sio passmarks za O level

Angalia hii Diploma ya Computer science pale UDSM CSE - Diploma in Computer Science
Tembelea hiyo page afu nenda diploma information afu entry requirements kuna category A na B ila yeye kwakua kasoma Certificate Category B(i) itamhusu

Category B: Equivalent Qualifications

Certificate of Secondary Education Examination (C.S.E.E.) or equivalent with passes in at least four approved subjects and one of the following qualifications:

(i) A Certificate in Computer Science (or related field) with an average GPA of at least 3.0 out of 5.0 or a Diploma at a good standing from recognized institution.

OR

(ii) A qualification of an equivalent standard awarded by recognized professional bodies such as the National Board of Accountants and Auditors and the Business Education Council.

OR

(iii) A Form VI certificate with at least two subsidiaries in the subjects listed in (a) (i) above plus at least two years industrial experience in ICT.
 
Tembelea hiyo page afu nenda diploma information afu entry requirements kuna category A na B ila yeye kwakua kasoma Certificate Category B(i) itamaha

Category B: Equivalent Qualifications

Certificate of Secondary Education Examination (C.S.E.E.) or equivalent with passes in at least four approved subjects and one of the following qualifications:

(i) A Certificate in Computer Science (or related field) with an average GPA of at least 3.0 out of 5.0 or a Diploma at a good standing from recognized institution.

OR

(ii) A qualification of an equivalent standard awarded by recognized professional bodies such as the National Board of Accountants and Auditors and the Business Education Council.

OR

(iii) A Form VI certificate with at least two subsidiaries in the subjects listed in (a) (i) above plus at least two years industrial experience in ICT.
Asante mkuu.... kumbe hakuna problem yoyote hapo...[emoji122] [emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah..!! Kama kama dit kamanda
Je NIT..?

Back
Top Bottom