Nina mdogo wangu amemaliza kidato cha 4 mwaka 2012 ana D zote na C mbili ya kiswahili na Civics yaani div 4:26 je anaweza kusoma nn kipindi hiki? Masomo ya sayansi Phys, Chem, Bios na Maths yote Ana D