Msaada kuhusu Course ya ICT

QT Jay

Member
Jan 25, 2017
49
25
Jamani naomba kufahamu zaidi kiundani course ya ICT, je soko lake la ajira liko vipi na kipi ni chuo kizuri kwa mkoa wa mwanza kinachotoa course hiyo
 
Acha kuwaza ajira soma kwanza.

Sasa asome alafu baadae aje kuhangaika mitaani? Ukute fani yake ajira zinatokaga chache. Acha dogo aombe ushauri kwanza. Wapo wengi waliobugi kusomea vitu ambavyo havina market, acha wajuzi wa hayo masuala wampe ushauri. Mi nna marafiki kama wawili wana GPA nzur tu lakini wapo kitaa wanafanya madili ya hapa na pale maana ajira za vitu walivyosomea ni za kuhesabika. Maisha ya Sikuiz sio kusomea unachopenda tena, unasomea kuajiriwa au kujiajiri.
 
Bora asome mambo ya gesi
 
soma IT kabisa achana na ICT haina ishu.. au kama unataka ICT basi piga ICT WITH EDUCATION ila ikisimama yenyewe.. unapoteza muda tu!
 
Back
Top Bottom