Pata fursa ya kusoma online bachelor

Pata fursa ya kusoma online bachelor

Mr. Mangi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2014
Posts
1,512
Reaction score
772
Wapenzi habari za mchana?

Mnamo 12/06/2017 Mangi nilifanikiwa kununua Bachelor degree on Business administration with Information Technology kutoka SMC University kinachopatikana huko Zug - Switzerland masharti ya chuo ninapaswa niwe activated nianze masomo ndani ya mwaka mmoja toka siku niliyonunua hii ina maana kufikia june 12 mwaka 2018 kama sijaanza kusoma hicho kifurushi automati kita expire, mpaka hivi sasa sijafanikiwa kuanza kusoma pamoja na kuwa nilishalipia kila gharama kwani nimekumbwa na changamoto hata siwezi kutulia nisome, pia vyuma vimenikazia mno hivyo ndugu zangu nimefikia uamuzi wa kukiuza hicho kifurushi kwa yeyote atakae hitaji na kwa bei tutakayoelewana.

Nilikinunua dola 1850 sijafanya registration hivyo utakae hitaji nitakupa link na password ujiandikishe vigezo vya chuo ni uwe umehitimu form six ama una equivalent nyingine, moja ya sababu iliyonifanya ninue hii kozi ktk hichi chuo ni ubora wa chuo ktk maswala ya online education kwani kwa mujibu wa jarida la forbes chuo ni cha kwanza chini uswisi kwa kutoa masomo bora ya online cha 5 barani ulaya na cha 15 duniani kote kwa ubora. Pindi utakapohitimu cheti utakipata kupitia sanduku lako la posta ulilolitumia wakati wa kujiandikisha ama kupitia ubalozi uswisi hapa nchini chuo kinatambulika na TCU hivyo baada ya kuhitimu utaenda ku verify cheti chako Tcu ili uweze kukitumia hapa nchini.

Wakuu mwenye kuhitaji tafadhali njoo pm ama kama unaweza nisaidia kukiuza njoo pm tuyajenge, bei hiyo isikupe shaka tutazungumza. ASANTENI
 
Mkuu mbona unatupa wasi wasi hapa?
 
unajua hiyo dola 1850 ni kama million nne hiyo sasa hapa wewe unazan kwa kukaza huku kuna atakaekupa hiyo pesa kwa sasa.
 
Kwann Ulichagua Business Administration?
Sababu advance mesoma economics pia chuo pia nilisoma economics hivyo hiyo nikaiona ndio best choice ktk course walizokuwa wakitoa
 
Mkuu hujanunua degree kama ulivyo andika!!!!
Mkuu nachojua nna access ya kusoma hiyo bachelor BBA-IT mimi ama kwa yeyote nitakaempa details akisome hivyo hayo mengine hayana maana ktk huu uzi, baki kwenye mada
 
Sijaleta kitu kipya nimerespond kwa uzi ulioleta wewe. Msitari mmoja unasema umenunua degree na msitari mwingine unasema umenunua kifurushi. Ni muhimu kuwa consistent mkuu.
 
ingekua masters ningekupa hiyo pesa lakini bachelor hapana
 
Back
Top Bottom