Msaada wa ushauri wadau, anataka kuacha form 5 akasome certificate

laeli

Member
Nov 13, 2017
8
20
Habari za jioni wadau nina mdogo wangu yupo jitegemee sec. Form five ila anataka kukatisha mwezi wa tatu aende akaanze certificate.

Naomba tumshauri dogo course gani nzuri ambayo itamfaa Dogo anachukua HGL. Asanteni​
 

white hat

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
3,336
2,000
Habari za jioni wadau nina mdogo wangu yupo jitegemee Sec. Form five ila anataka kukatisha mwezi WA tatu aende akaanze certificate sasa Naomba tumshauri dogo course gani nzuri ambayo itamfaa Dogo anachukua HGL. asanteni​
ungeweka hapa matokeo yake ya form four na fani ipi anapenda zaidi? ili upate msaada wa haraka
 

laeli

Member
Nov 13, 2017
8
20
Ye anasema anapendelea mambo ya record archives and information management Ila sijajua labda ikoje kwenye soko
 

reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,499
2,000
Huyo atakua kuna mwenzake kamdanganya. Ila inawezekana m mdg wangu alianza akasoma miez miwil akarud mwakan anamalizia dip ya clinical officer, ila mimi nilimshaur sbb najua advance PCB angekula za uso ila huyo akaze tu.
 

laeli

Member
Nov 13, 2017
8
20
Huyo atakua kuna mwenzake kamdanganya. Ila inawezekana m mdg wangu alianza akasoma miez miwil akarud mwakan anamalizia dip ya clinical officer, ila mimi nilimshaur sbb najua advance PCB angekula za uso ila huyo akaze tu.
 

byembalilwa

JF-Expert Member
Aug 7, 2012
1,897
2,000
kama mkubwa mtu upo hivi,familia yenu haipo sawa
unaombaje ushauri kijinga namna hii?
eleza matokeo yake,na anataka akasome kozi gan
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom