NA RUSTON MSANGI.
Ualimu ni kada pekee nchini yenye watumishi wengi kuliko kada nyinginezo. Waswahili husema penye wengi kuna mengi pia.
Ni ukweli usiopinginga kwamba kila kada ina changamoto...
Wakuu kama kichwa kinavoeleza nna mdogo angu wangu ali risiti mtihan ila matokeo yake n mazuru kwan ana B mbili na C tano.. N masom y art ipi combi nzuri kati...
Wakuu anayefahamu shule nzuri kwa kidato cha tano na sita. kwa michepuo ya sanaa.
Shule iwe DAR au Pwani.
Ikiwa ya wasichana tupu itafaa zaidi.
Ada iwe kati ya 1 000 000/- mpaka 3 000 000/-...
Habari zenu wakuu.
Naombaa mtu yeyotee anayejuaa shule nzurii kwa level ya advance zilizopo dar es salaam.. anitajie na kama una contact zao unitumie hapa ntashukuru zaidii nina mdogo wangu...
Habar zenu
Tafadhali naombeni ushaur wenu
Nimepoteza cheti cha form four muda wiki hii sasa kabla cjaenda kurupot polis nimepigiwa cm mahali nikafanye interview na nikafanya tu kibahati...
Mwezi november mwaka jana tuliarifiwa kuwa promotion kwa watumishi imeanza kshughulikiwa.
Naomba kuuliza Kuna mtumishi yoyote ambaye mshahara wake umebadilika au ndio bado wanaendelea kushughulika?
Kwanza ;;Hongereni kwa wale wote walioweza kukidhi vigezo vya kusoma Advanced na kuridhia kuendelea kusoma Advanced.
•~ Moja ya changamoto mtakazo kutana nazo mtakapo kwenda shule hasa wale...
Wakuu nimekuwa nikipata shida sana naomba anaejua AM inaanza saa ngapi na kama inaisha saa ngapi animbie pamoja na PM pia
==========
AM na PM inatumika ktk mfumo wa masaa 12, sio masaa 24.
Hivyo...
The Positive Action for Children (PACF) Scholarship Fund combines completion of a health/development-focused qualifying MSc programme with practical industry experience to equip students with the...
Wadau naomba kujua ni software gani nzuri inayoweza kuweka vipimo vya picha za photo Entry. Yan upana 132, urefu, 185 na resolution ya 72.
Ikipatikana inayoweza kuprocess picha zaidi ya moja...
Lile shirika ambao lilijitanabaisha kuwapata wanafunzi mikopo TSSF, sasa wamefungiwa rasmi kufanya shughuli za utoaji wa mikopo ya elimu ya juu badale yake serikali imewataka kupeleka pesa zao...
Habari wadau;
Kuna ndugu anahitaji ushauri,
Huyu bwana amemaliza kidato cha sita 10 years,PCB ila hakubahatika kuendelea na elimu formally ingawa informally amesoma vitu vingine has kenye field...
Nilikuwa naangalia matokeo ya form 4, nimeshangazwa na wingi wa shule za sekandari mkoani kilimanjaro. mkoa una watu 1.6m una sekondari za o-level 279!
Dar ya makonda ina watu 5m na shule za...
Elimu bure haizihusu shule za serikali zinazofundisha kwa kiingereza. Hata shule hizi zimeachwa ziendeshwe kiholela. Ada na michango kwenye hizi shule havina mpangilio.
Kwanini serikali isiweke...