Mrejesho; Nimefanikiwa kununua S.calculator "OG" kwa vigezo mlivyonipa

texaz mc

JF-Expert Member
Jan 15, 2016
371
203
Habari wadau wa JF,

Leo nimefanikiwa kununua scientific calculator "original" kwa vigezo mlivyonipa humu, Nimeinunua "Mnazi mmoja" kwa duka la muhindi na akasema kama italeta shida niirudishe.

Calculator hii ina baadhi ya sifa kama ukiizima inaandika "CAS 10".
Ina vitabu vitatu vya guide.

Kimoja ni cha english, german(i think) na cha kiarabu.
Asanteni sana.
 
Picha ni hizi.
 

Attachments

  • DSC_0004.JPG
    DSC_0004.JPG
    230.6 KB · Views: 42
  • DSC_0003.JPG
    DSC_0003.JPG
    230.5 KB · Views: 39
  • DSC_0002.JPG
    DSC_0002.JPG
    249.3 KB · Views: 42
Sio og wewe iyo toleo la pili la kawaida kuna hesabu umo ukiingiza aifanyi kazi pia cheki Kkoo IPO white og unacheki kwenye Kkoo kinatakiwa kiwe black pia hapo kwenye neno Casio sio black kunatakiwa kuwena dark blue rangi.
 
Back
Top Bottom