Wanajamvi,
Kwa anaemfahamu mmiliki wa shule ya Musabe iliyoko jijini Mwanza tafadhari asaidie kufikisha ujumbe huu. Ni kweli shule imejengwa kwa standard ya kisasa na mmiliki nampongeza kwa hilo kweli aliamua kuinvest.
Tatizo lililopo shuleni hapo ni namna ya uongozi unavyoendeshwa kikabila. Mtu unafika tu hapo unagundua tatizo lililopo!! Ukabila umezidi mno kiasi kama mmiliki anaelewa basi bora shule ingejengewa Kagera ili admission ifanyike kwa kihaya.
Nilibahatika kuongea na mwalimu mmoja wa shule hiyo alilalamika sana jinsi wafanyakazi wasiokuwa wahaya mistreatment wanayofanyiwa.
Kiukweli uhaya umezidi hadi hata wazazi tuiopeleka watoto hapo tunakereka!!!
Mmiliki angalia uongozi wako,hata kama umeamua kuajiri wahaya zaidi ya 80% lakini waambie wafanye kazi na waachane na ukabila. Shule nzuri lakini inaendeshwa kilocal mno!!