Je, ni aina gani ya casio calculator wanazoziruhusu katika mitihani???

Je, ni aina gani ya casio calculator wanazoziruhusu katika mitihani???

texaz mc

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2016
Posts
371
Reaction score
205
Napenda kujua aina za Casio calculator wanazoruhusu kwenye paper na kama zipo aina nyng wanazoziruhusu, je IPI ni version nzuri zaidi???
 
Scientific calculate mkuu nyingi nzuri ni uchaguzi wako tuu
 
Back
Top Bottom