Doswe Dossena
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 314
- 552
Habari..!!.
imani yangu inanipa ya kuwa JF kuna wasomi wengi wa Elim za juu.
Naomba tusaidiane katika hili mana wengine huwa tunapenda kujifunza ambavyo hakutuvisoma..
Martin Luther King Jr & Malcolm X.
hawa watu wawili ni watu mashuhuri sana duniani,
walikuwa ni wanaharakati wa kutetea haki za watu weusi waliokuwa na wakati mgumu mno, na wote wliuawa kwa kupigwa risasi nchini marekani.
na walikuwa vipenzi vya watu wengi ulimwenguni mpk kupelekea Malcolm X kuzunguka sehem kubwa ya dunia katika mialiko ya nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania.
Kikubwa nilitaka tujuzane ni kwanini hawa wapendwa wawili walikuwa walishindwa kuendeleza harakati zao kwa pamoja ilihali walikuwa wanafanya kazi hyo zama moja(kipindi kimoja)..????