Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,823
- 140,865
Kwa wale applicants tuliowahi kuwanyaka TCU tumekuwa na bahati hakuna presha tena.Sasa nimetupwa pale UDSM nikasome Mining.Wale wenzangu 35 wa Mining Eng na wale wa vyuo vingine program ya Mining tukutane hapa kushauriana na kupeana updates mbalimbali