DMCT
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 2,276
- 5,943
Wakuu,
Heri ya Pasaka, pia poleni na majukumu na mihangaiko ya hapa na pale.
Nina jamaa yangu anasoma SUA jina, Mahaja Kusekwa nimesoma nae A Level, alikosa mkopo ila muhula wa kwanza alipambana juu chini akafanikiwa kulipa karo.
Leo amenipigia simu akaniambia ameomba barua katika uongozi wa chuo ili aombe mchango maana hali ni mbaya sana, nikamwambia nitumie hiyo barua. Nijaribu kusambaza kwa atakae guswa atakusaidia. Kwa maelezo zaidi unaweza mtafuta kwa namba +255757284352. Ahsanteni