Tukutane hapa walioomba MOFCOM scholarship za China

bendee

Senior Member
Feb 21, 2013
111
146
Kama kunae alieomba MOFCOM scholarship katika vile vyuo 26 vilvyoainishwa kwa mwaka wa masomo 2016/17 tupeane taarifa kwani kwa maelezo nikwamba matokeo yatatolewa mwezi huu wa August tuambieana na vyuo tulivyoomba.
Mie nilijaza chuo kimoja tuu kwani tayaari nilikuwana Pre - admission so sikuwa na haja ya kujaza vyuo vyote vitatu!
niliomba HUST kipo Wuhan Province.
 
Mkuu Chuo. Ulipata? Na je process gani za kufuata ili kupata pre admission letter?
 
nilipata, kila chuo kina utaratibu wake so nivyema ukacheki utaratibu wa chuo husika
Habari Mkuu nami nimepata Pre-admission letter kwenye moja ya vyuo vinavyotoa Mofcom scholarship. Katika ile form ya csc kuna sehemu tatu za kujaza vyuo... Sasa nilijaza kimoja kama ulivyofanya Mbona kama inagoma Mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom