Sales Agents
Member
- Mar 17, 2018
- 15
- 7
Kijana,
Usipende kufeli kizembe zembe, kijinga jinga, kibwege bwege, kifala fala fulani hivi. Majira haya ya kiangazi utapeleka wapi div 3, 4 ama 0?. Ukianza maisha ya kujitegemea ndio utajua namna gani div 3 na 4 yako inavyokuvuta shati lako kwa nyuma.
Sasa fanya hivi, kamata 'tirio' nyoosha mwanzo mwisho. Soma notes elewa vizuri, then piga jeramba la kuua maswali yaani piga ndani nje hadi div 'one' itakuamkia 'shikamoo'.
Hakikisha, una silaha zako zimepangiliwa na kusafishwa vizuri kila ukizitazama unawacheka necta kwa dharaaaaaaaaauuu vile utakavyowaumiza mwisho wa siku. Kusafisha silaha namaanisha umezipiga zote bila huruma.
Huwezi kufaulu bila kuwa na silaha nzuri. Nope. Never. Utashindaje vita bila kuwa na silaha imara?. Yaani una matirio za kuokota hapa na pale hafu ndo upate div one? Acha dharau bana. Impossible. Kawaulize vipanga wa div one watakusimulia vizuri.
Acha kusubiri Mwalimu wako wa shule au wa tuisheni ndo akuandalie nondo. Utaumia. Mwalimu wako anakupa 25% na wewe unatafuta 75% nadhani hili unajua. Sasa, hii 75% sisi tunayo njoo chukua, acha kuhangaika.
Tuje kwa wazazi,
Mnavyowapeleka watoto wenu shule, huwa mnasahau jambo hili. Matirio /Silaha / Nondo. Kikubwa mnachofanya ni kuwanunulia vitabu na kuwapeleka tuisheni, basi. Haitoshi. Hapo kufaulu mnabahatisha hasa kwa wale wa kayumba. Kayumba wanachezea sana kwenye eneo la div 4 na 0. Ndio, maana tukawafungia kazi rasmi.
Sasa fanyeni hivi. Muwanunulie matirio yalioandaliwa vema, matirio ni zaidi ya vitabu na tuisheni. Halafu muwaachie kazi ya kupambana sasa.
Tucheki kwa namba hii: 0745 51 51 52.