Zanzibar state University

samsamwel

Member
Sep 10, 2015
96
195
wakuu habari, naomba msaada kwa aliye na uzoefu au taarifa sahihi za chuo hiki anisaidie. campus life, ubora na unafuu wa msisha nje au ndani ya chuo.
nahitaji kumpeleka mtu kule je tution fee na gharama zinginezikoje. tovuti yao haifunguki, pia dedline na qualifications za kudahiliwa pale zikoje. ni vema kama kuna ushauri au maelezo udiyotaka kuyaweka wazi naombauni PM ntakufta jwa taarifa zaidi
 
King Ngwaba

JF-Expert Member
May 15, 2016
15,953
2,000
Kitu Pekee Ninachokifahamu Ni Kuwa State University Of Zanzibar (SUZA) Hawana Hostel Kwenye Campus Zao Zote! Kwavile Zanzibar Ni Ndogo Wanafunzi Husoma na Kurudi Majumbani Kwao! Wageni Kutoka Nje Ya Zanzibar Wanakodi Vyumba (Au Nyumba) Kwenye Majumba Yaliyojengwa Maalum Jirani Na Compus Yao Ya Tunguu!
Bali Kwenye Compus Za Mjini (Mkunazini & Bait Al-Rasi) Wanakodi Kwenye Majumba Ya Kawaida.

Na Campus Zao Ni Tatu! Mkunazini, Bait Al-Rasi na Tunguu.
 
remedy50

JF-Expert Member
Apr 14, 2014
673
500

Acha kumdangany mwenzio ww
Hiv ZIFA Campus hakuna hostel, Mbweni ( COHS) campus hakuna hostel??????
 
King Ngwaba

JF-Expert Member
May 15, 2016
15,953
2,000
Acha kumdangany mwenzio ww
Hiv ZIFA Campus hakuna hostel, Mbweni ( COHS) campus hakuna hostel??????

Kwanza Hicho ZIFA sio Tunachokizungumzia.

Halafu Hostel zilizopo Mbweni (College of Health) Ni Kidogo tu Kwa Ajili Ya Wanafunzi Wa Diploma Wa Course Za Afya tu na Si Fani Nyengine Yoyote.

Narudia Tena SUZA haina Hostel
 
remedy50

JF-Expert Member
Apr 14, 2014
673
500
Kwanza Hicho ZIFA sio Tunachokizungumzia.

Halafu Hostel zilizopo Mbweni (College of Health) Ni Kidogo tu Kwa Ajili Ya Wanafunzi Wa Diploma Wa Course Za Afya tu na Si Fani Nyengine Yoyote.

Narudia Tena SUZA haina Hostel
Kwanza uelewe kuwa ZIFA ni campus ya SUZA na Mbweni ina hostel za kutosha kwa wanafunz wa Afya sio diploma tu mpk degree Afya
 
King Ngwaba

JF-Expert Member
May 15, 2016
15,953
2,000
Kwanza uelewe kuwa ZIFA ni campus ya SUZA na Mbweni ina hostel za kutosha kwa wanafunz wa Afya sio diploma tu mpk degree Afya

Kuhusu ZIFA sorry nilikuwa Sijajua Kama Nacho Kimeshaunganishwa Na SUZA kwani mara yangu Ya Mwisho Kufika Chwaka Chuoni hapo 2011 kilikuwa Bado Hakijaunganishwa.

Sasa Huyu aliyeuliza Kwani Kajitambulisha Kuwa Ni Mwanafunzi Wa Afya?
Kama Ni BAED au IT pia utampeleka Mbweni?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom