Black Coffee
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,937
- 3,202
Habarii wanajamvi,
Naomba msaada kwa ajili ya binti yetu aliye maliza masomo Mwaka ulio pita anawastani wa history D, geography D, kiswahili D, English D, biology D, civics D, math F
Je kwa matokeo hayo anaweza kujiunga na course yoyote ya afya? Plan ni medical doctor, clinical medicine& pharmacy, Naomba kujuzwa hata kama kuna pre course Kwasababu ya masomo ya sanaa
NB: Mpaka Sasa nimetuma email kwa vyuo kadhaa ila vyuo vyetu wazito mno kwenye masuala hayo.
Karibuni wajuvi wa mambo hayaendi asante!