Nawezaje kuwa rubani hapa Tanzania?

Nawezaje kuwa rubani hapa Tanzania?

Emok Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2018
Posts
1,094
Reaction score
800
Husika na mada tajwa hapo juu
*Bei za ada ukitaka kusomea urubani?

✈✈✈✈✈
* je,utoaji wa ajira hauna undugu?

* Tanzania kuna chuo bora cha Urubani✈✈?

* Je ni lazima kusomea nje ya nchi?

* mwananchi wa kipato cha chini anaweza kusomea hii fani?

Anaejua atupe ufafanuzi .
 
Kusomea nje ni lazima inategemea unataka kuwa na ndege gani

Unaweza anzia hapa hapa Dar kwa kusoma PPL ukimaliza soma na ukapata masaa yakutosha kama una hela unasoma CPL ukifikisha masaa husika na ukiwa na hela unajiendeleza na Airline unayotaka

Yahitaji hela, ajira zipo
 
Marubani huko atcl wanalia njaa labda upate private airlines
 
Hebu jaribu Moswood Aviation School, nenda Hangar 2 JKNIA!.
 
Kusomea nje ni lazima inategemea unataka kuwa na ndege gani

Unaweza anzia hapa hapa Dar kwa kusoma PPL ukimaliza soma na ukapata masaa yakutosha kama una hela unasoma CPL ukifikisha masaa husika na ukiwa na hela unajiendeleza na Airline unayotaka

Yahitaji hela, ajira zipo
 
Kusomea nje ni lazima inategemea unataka kuwa na ndege gani

Unaweza anzia hapa hapa Dar kwa kusoma PPL ukimaliza soma na ukapata masaa yakutosha kama una hela unasoma CPL ukifikisha masaa husika na ukiwa na hela unajiendeleza na Airline unayotaka

Yahitaji hela, ajira zipo
Mkuu hivi kuwa rubani wa jeshi unasomea jeshini au ??
 
Kuna uzi mmoja umeandika.kuhusu haya maswala ya ndege na urubani aliyeuandika ni engineer wa ndege nenda utafute unaitwa JIFUNZE KUHUSU NDEGE utasaidia sana kujibu maswali yenu
 
Back
Top Bottom